Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

article-2166083-13E1CC8C000005DC-891_634x408.jpg

What they are playing for.
 
Di Natalle analeta matumaini
Di Natale ni mzuri sana...Hata Wataliano wanamshangaa Prandelli kwa kumuanzsiha bechi kila mechi na kumchezesha Cassano ambaye hayupo fit,ametoka kufanyiwa operesheni ya moyo.......

Pia ni vizuri akamuingiza Diamante maepma badala ya kumuingiza dakika ya 70
 
Ha ha ha haaaah!! Jamaa mmoja hapa anasema eti Papa kasahau kuwaombea Italy....

Duh! Pengine ulikuwa mtihani mgumu kwa Papa,kwani Italia na Hispania zote zina waamini wengi wakatoliki.
 
Anaingia Pedro. Ningefurahi kama angeingia Simba Llorente. Raha/tatizo la Del Bosque ana wengi wa kuchagua. Pengine hata Jesus Navas na Torres wasicheze leo ikiwa matokeo hayatabadilika.
 
Hii ni subjective, lakini tunamsamehe bure


Mpaka sasa wanajitahidi kidogo hasa baada ya kuingia Antonio Di Natale. Sasa amuingize Alessandro Diamante.

Right, 30 minutes remaining. Italy need a goal, and quick yaani sasa hakuna kuremba
 
Thiago Motta anaumia........Ni hatari kwa Italy........Harmstring
 
Ha ha ha haaaah!! Jamaa mmoja hapa anasema eti Papa kasahau kuwaombea Italy....

Unajua Papa ni Mjerumani. Kwa hiyo, amewachukia waitaliano kwa kuwabanjua ndugu zake wajerumani. Lazima anaombea Spain ishinde. Mambo ya ushabiki hayana mchezo bwana.
 
This is tough for Italy as they will have to do the work with 10 men
 
Balotelli anachezewa foul...

Freekick kuelekea lango la Spain

Pirlo anapiga.........Goalkick
 
It's a waste for Italy as Pirlo whips a free-kick straight out of play. Truth be told, not a great deal happening at the moment.
 
Siku ya kufa nyani....

Italy wamemaliza sub na Motta kaumia......

Italy inabidi wacheze 10 uwanjani......So sad
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom