Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Dah... Siwezi kuvumilia hii kitu Wadau.... This is INHUMAN.... I never expected this.... 4-0???????? Kila la heri... Mie nalala,....


Usiku mwema jamani
 
Chifu Villa yumo hapo kiwanjani, anacheki soka tu.

Hongera kwa kikombe.

Hii sasa aibu! 4-0 kwenye fainali?!
Wana sababu.....Wamecheza 10 uwanjani kwa dakika 33.......Ni baada ya Thiago Motta kuumia wakati Italy wamemaliza sub 3.......
 
Full Time

Spain 4-0 Italy

Hongera kwa Spain....Pole kwa maburuda Italy...

Hongera kwa MAMAMIA na Gutierez
 
Nawapongeza Italy kwa kushiriki.
Kombe linabaki Spain.
Tukutane France 2016!
 
GIZASCO wana visa! Nahisi GIZASCO walikuwa wanashabikia Italia.
 
Waitaliano hawakustahili kwenda fainali. Sijuwi ilikuwaje wakawafunga vituu wa Hitler. Too shame kufungwa mabao manne (4) kama netiboli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom