Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Spain straight wapo fainali. No way Portugal wakaresist uwezo mkubwa wa Spain. Na hii formation aliyokuja nayo Del Bosque ya 4-6-0 ni balaa. Hii formation itawasumbua sana pia Wajerumani katika mechi ya fainali hapo tarehe 1 July.

fainali sio mbali sana...wewe unawapa kura ujerumani?.....subiri..bahati mbaya sijui uko wapi...maana jana nimekula dola 100 hiiv hivi....ila ntakutafuta baada ya mechi alhamis
 
Hiyo style waliitumia pia ktk mechi ya kwanza dhidi ya Italy...je ilizaa nini kama si kuuchomoa wa Di Natale?

Then hao ujerumani wako hawajamfunga Italy zaidi ya umri wa mtoto aliye form 4 na mara ya mwisho walichapwa 2-0 na wakamaliza mpira dakika 118 kwa mara ya kwanza ktk historia ya soka ulimwenguni.

Nauhakika hata Gianluigi Buffon asipokuwa Golini na badala yake Steven Wassira akawa kipa basi Ujerumani hawawezi kushinda.

Mark n bind it
 
Huyu kocha wa Spain Vicente Del Bosque sijui kwa nini toka mashindano yameanza hajawahi kumchezesha Fernando Llorente wakati ni bonge la striker yaani yule ana undugu na nyavu.
Hahaahahaha ndugu yangu Spain kila mtu mzuri,kuna kina Negredo,Santiago Carzola Gonzalez wote benchi wameachwa kina Mikel Arteta,Cesc nae mkeka,Silva nae hamalizi dk 90,kina Jesus Navas Gonzalez wote vifaa hao lakini wapo wengi viwango,kwahiyo usijali unanifurahisha sana umemkumbuka Fernando Torres Llorente el rey the lion king!
 
Safi sana Jordi Alba.......What cross....
anaitwa Jordi Alba Ramos ni mzaliwa wa Barcelona kakulia na kucheza barcelona watoto,na mnazi mkubwa sana wa fc barcelona,kiasi kwamba valencia inapocheza na fc barcelona basi valencia hawampi namba kwa kumhofia ni mamluki,yaani siku hiyo hata mimi migulu baja nitacheza kuliko kumchezesha Jordi Alba Ramos vs fc Barcelona,ni mrithi wa mzaliwa mwingine wa Barcelona aitwae Joan Capdevilla i Mendes japo yeye Capdevilla ni sapota mkubwa wa espanyol watoto wa jirani na el prat international airport hapo jijini Barcelona yaani ni kama ukonga(UK) wapo karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa na uwanja wao unaitwa el prat sambamba na airport jijini Barcelona,ni wapinzani wakubwa sana wa Catalan hawa espanyol na fc barcelona.
 
fainali sio mbali sana...wewe unawapa kura ujerumani?.....subiri..bahati mbaya sijui uko wapi...maana jana nimekula dola 100 hiiv hivi....ila ntakutafuta baada ya mechi alhamis
usiwe na wasi kaka hata mimi ntaweka dau,ujerumani out alhamisi,namuamini Andrea Pirlo pale kati kama vijana wangu wa Furia la Roja(Red Fury)Spain Iniesta,Xavi,Alonso,Busquets,Fabregas,Silva,Navas,Carzola,Martinez,Pedro,Negredo nk.
 
this is PANENKA style baby......english played the most boring soccer the whole tournament, just defended like cowards, no creativity....
Andrea Pirlo anatisha,Ac Milan wanahuzunika moyoni kuondoka kwake kwenda unbeaten bibi vizee wa Turin!
 
anaitwa Jordi Alba Ramos ni mzaliwa wa Barcelona kakulia na kucheza barcelona watoto,na mnazi mkubwa sana wa fc barcelona,kiasi kwamba valencia inapocheza na fc barcelona basi valencia hawampi namba kwa kumhofia ni mamluki,yaani siku hiyo hata mimi migulu baja nitacheza kuliko kumchezesha Jordi Alba Ramos vs fc Barcelona,ni mrithi wa mzaliwa mwingine wa Barcelona aitwae Joan Capdevilla i Mendes japo yeye Capdevilla ni sapota mkubwa wa espanyol watoto wa jirani na el prat international airport hapo jijini Barcelona yaani ni kama ukonga(UK) wapo karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa na uwanja wao unaitwa el prat sambamba na airport jijini Barcelona,ni wapinzani wakubwa sana wa Catalan hawa espanyol na fc barcelona.

Mkuu kama umekulia Le Masia.
 
Hiyo style waliitumia pia ktk mechi ya kwanza dhidi ya Italy...je ilizaa nini kama si kuuchomoa wa Di Natale?

Then hao ujerumani wako hawajamfunga Italy zaidi ya umri wa mtoto aliye form 4 na mara ya mwisho walichapwa 2-0 na wakamaliza mpira dakika 118 kwa mara ya kwanza ktk historia ya soka ulimwenguni.

Nauhakika hata Gianluigi Buffon asipokuwa Golini na badala yake Steven Wassira akawa kipa basi Ujerumani hawawezi kushinda.

Mark n bind it

Historia kwenye soka ipo ili ivunjwe, hata France walikuwa wanajifariji kuwa hawakuwahi fungwa na Spain ever katika mashindano makubwa at last wakalala mbili bila. No way Italy wakamresist Germany, japo always Italy ni wabishi sana, so game litakuwa gumu ila at last fainali ni Spain v Germany.
 
spain vs portugal, i dont see portugal winning this one, spain hapo anapita mainly ni kua portugal wanamtegemea sana ronaldo na wachezaji wa spain wengi ni wa barcelona na madrid so they know how to contain him asifanye chochote na if ronaldo doesnt play well portugal hawashindi.
 
fainali sio mbali sana...wewe unawapa kura ujerumani?.....subiri..bahati mbaya sijui uko wapi...maana jana nimekula dola 100 hiiv hivi....ila ntakutafuta baada ya mechi alhamis

Usijali, nitakuwepo hapa hapa ! Baada ya mechi ya jumatano pia nitafute !!!
 
spain vs portugal, i dont see portugal winning this one, spain hapo anapita mainly ni kua portugal wanamtegemea sana ronaldo na wachezaji wa spain wengi ni wa barcelona na madrid so they know how to contain him asifanye chochote na if ronaldo doesnt play well portugal hawashindi.
Huu mchezo wa kesho badala ya kuwa mashindano ya EURO unaonekana kama mchezo wa Real Madrid na Barca. Angalia wachezaji wa timu hizi waliomo katika timu hizo:
Real Madrid: 1. Pepe 2. Fabio Coentrao 3. Cristiano Ronaldo 4. Casillas 5. Sergio Ramos 6. Alvaro Arbeloa 7. Xavi Alonso
Barca: 1. Víctor Valdés 2. Piqué 3. Xavi Hernández 4. Andrés Iniesta 5. Busquets 6. Pedro Rodríguez 7. Cesc Fábregas.

Tafauti ndogo ni kuwa Cristian & Co. wanapambana na wote waliobakia ambao lote ni moja.
 
we ni mkali mbaya..
 
Yaani Spain wanaweza kushinda kombe na wachezaji wa timu hizo 2 tu.
 
[TD="class: match-dark, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 52, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"]Iker Casillas[/TD]

[TD="class: match-dark, width: 40, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 52, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"]Alvaro Arbeloa[/TD]

[TD="class: match-dark, width: 40, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 52, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"]Gerard Piqué[/TD]

[TD="class: match-dark, width: 40, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 52, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"]Sergio Ramos[/TD]

[TD="class: match-dark, width: 40, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 52, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"]Jordi Alba[/TD]

[TD="class: match-dark, width: 40, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 52, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"]Xavi Hernandez[/TD]

[TD="class: match-dark, width: 40, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 52, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"]Sergio Busquets[/TD]

[TD="class: match-dark, width: 40, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 52, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"]Xabi Alonso[/TD]

[TD="class: match-dark, width: 40, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 52, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"]David Silva[/TD]

[TD="class: match-dark, width: 40, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 52, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"]Cesc Fabregas[/TD]

[TD="class: match-dark, width: 40, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 52, align: center"][/TD]
[TD="class: match-dark, width: 188"]Andrés Iniesta[/TD]
 
Leo timu bora namba 1 kwa soka duniani wapo jijini Donetsk,uwanja maarufu wa timu ya shaktar donetsk donbass arena vs ureno,ukiwakosa spain leo jimalize! refa ni

[TD="class: match-dark, colspan: 3"]Cüneyt Cakir (Turkey)[/TD]

[TD="colspan: 4"][/TD]

[TD="class: match-medium, colspan: 4, align: center"][ Team
[/TD]
 
Mkuu kama umekulia Le Masia.
hahaha hapana Lleida,Sabadell na Tarrega,ni kama kumuuliza Manolo el del bombo the drum na ngoma yake pale Mestala Stadium jijini Valencia,lol! huyo toka 1982 hajakosa mechi Spain kakosa 1 South Africa 2010 pale Pretoria vs Chile alikuwa ana flu ilimshika,anamiliki baa pembeni mwa uwanja wa timu ya fc valencia na ni mnazi mkubwa sana wa valencia fc kwa taarifa yako tu ukiwa kama mfuasi wa furia la roja(the red fury)Spain
 
Gutierez (no serás tú el Guti ex-del Real Madrid?), manake jinsi unavyomchambua Manolo del Bombo utadhani ni jirani yako.

Mimi ninabaki na Spain. Tangu siku ya kwanza ya mashindano El Marqués del Bosque alisema fainali ni Spain vs German na mimi ninamwamini. Tukishindwa njiani, POA SANA, sisi ushindi wetu ulikuwa dhidi ya Ufaransa ambayo ladha yake inashinda hata kombe lenyewe. Zile dhihaka zao za Canal+ zinawasuta wenyewe.
fotonoticia_20120626172143_800a_1.jpg
 
ningeipenda niisupport portugal leo kwa sababu ya ronaldo, huyu alikua man utd na nilimmaindigi sana coz am a utd fan. ila for footballing reasons itabidi tu niifagilie spain. their style of football is fantastic...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom