Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Ndio maana nimekuuliza, manake umesema kwamba England hata angepita safari yake ingeishia kwa Ujerumani. ujumbe mwingine kwenye maneno hayo ni kwamba Italy ana nafasi ya kupita kwa UJERUMANI

Ahaa! Sawa, ni kweli kwa mtazamo wangu England ataishia kwa Ujerumani tu hata kama wamepita leo, ila Italy kwa Ujerumani kazi itakuwa ni kubwa sana kuipita manake ile timu ni noma(Ujerumani)!
 
Ashley Young na Ashley Cole wamelizamisha jahazi la Uingereza baada ya kukosa penati zao kwa ufupi 2naweza kusema mchezaji wa Man U na wa Chelsea ndo wamepelekea England kutoingia semi final.
 
Haya its Going to be a cracking Semi Final.... Italy are so good defensively and German are so good offensively.... Kati ni OZIL vs Mtu mzima PIRLO....PATAMU SANA HAPO....
 
"Italy were far superior to England. What impressed me was technically they controlled the game, but also they were physically stronger. That surprised me, and they deserved to get into the semis where they will expect a good clash with Germany.
"I had hopes for England but to be honest they didn't deserve it because they could not keep tempo with Italy, they didn't close down spaces and it was too big a mountain to climb."

Jurgen Klinsmann in Kiev
 
England captain Steven Gerrard on BBC

"The players have given eveything. I thought we might have the luck in the penalty shoot-out but it wasn't to be. When you get your nose in front during a shoot-out, you just hope you can hang on but credit to Italy, they got the luck in the shoot-out. The lads at the back were fantastic, we have done the country proud but we go home heartbroken and that is hard to take."
 
Alan Shearer in Kiev:"I think the disappointing thing from England is that they didn't give themselves a chance as they were chasing the game for most of it. We had one or two half chances but the frustrating thing is that because you work so hard chasing the ball when you get it you lose it and fall further and further back."
 
Hope this worth to share....... He angalia ENG records...

"England recorded 35% possession against Italy - their worst amount of possession in the tournament. Against France it was 39%, Sweden 48% and Ukraine 45%."

Then watu walitaka such a team iingie nusu fainali.... Kuna Mungu Jamani...
 
Ni semi final ingine baada ya ile ya world cup kati ya Italy na Germany mwaka 2006.

Andrea Pirlo alicheza mechi ile akiwa ana miaka 27 na sasa ana miaka 33. Mesul Ozil ana miaka 24 tu na bado damu inachemka.

Hivyo inangojwa nusu fainali ya nguvu kati ya Mesut Ozil- "attacking midfielder" na Andrea Pirlo- "playmaker" ambae pasi zake ndefu hufikia washambuliaji ambao kama Balotelli hupoteza.
 
Jamani angalieni arsenal vs wolves penalty ya van persie... Hakuna cha ajabu ila penalty illikuwa tamu..
 
ndetichia a.k.a Del Piero, Myao wa Tunduru a.k.a Pirlo na Companero a.k.a Di Livio mko wapi?
njoeni huku tusherehekee pamoja na Buluda wenzetu...
Forza Azzurri
 
Rooney alikuwa asubiri kupiga penalty ya tano ya kuamua ushindi...bahat mbaya haikutokea
 
Italy ni timu ngumu sana kuifuinga, na hii sio leo au jana...
Kilichotokea leo ni kujaza sungusungu katikati ambao watakimbizana na Kiungo cha Italia kisha Pirlo pekee ndie atakayekuwa na jukumu la kukaa na Mpira.

All in all always BLUE hung'ara...
Born Live Under Evil...
 
Ni semi final ingine baada ya ile ya world cup kati ya Italy na Germany mwaka 2006.

Andrea Pirlo alicheza mechi ile akiwa ana miaka 27 na sasa ana miaka 33. Mesul Ozil ana miaka 24 tu na bado damu inachemka.

Hivyo inangojwa nusu fainali ya nguvu kati ya Mesut Ozil- "attacking midfielder" na Andrea Pirlo- "playmaker" ambae pasi zake ndefu hufikia washambuliaji ambao kama Balotelli hupoteza.


ni kuchuma dhambi kumfananisha Ozil na Uncle Pirlo.
Ndio kuna jamaa niliwahi kumnasa kibao baada ya kumfananisha Terry na Nesta.
 
Ahaa! Sawa, ni kweli kwa mtazamo wangu England ataishia kwa Ujerumani tu hata kama wamepita leo, ila Italy kwa Ujerumani kazi itakuwa ni kubwa sana kuipita manake ile timu ni noma(Ujerumani)!


Nenda kaangalie rekodi kati ya Italia na German kisha uje uandike tena...
Inaelekea huwajui wataliano
 
Rooney alikuwa asubiri kupiga penalty ya tano ya kuamua ushindi...bahat mbaya haikutokea

Rooney smashed his penalty into the left corner before Pirlo had the audacity to produce a 'Panenka' chip down the middle to level at 2-2.
 
article-2164037-13C4CE23000005DC-620_634x390.jpg


Advantage England: Montolivo hangs his head after missing his penalty


article-2164037-13C4D19A000005DC-341_634x368.jpg


Double whammy: Ashleys Young and Cole both missed for England



article-2164037-13C4D859000005DC-965_634x361.jpg


Hammer blow: Ex-West Ham midfielder Diamanti buries his penalty to send his team-mates wild


article-2164037-13C4D808000005DC-812_634x349.jpg



article-2164037-13C45F70000005DC-593_634x356.jpg


Line-up: The England and Italy teams pose for their photos before kick-off


article-2164037-13C46016000005DC-128_634x379.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom