Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Hawa France inabidi wafanye mabadiliko haraka hasa kwenye kiungo....La sivyo wataongezwa magoli
Hawa France inabidi wafanye mabadiliko haraka hasa kwenye kiungo....La sivyo wataongezwa magoli
Ndio maana nilisema kikosi chao cha leo kiko hovyo....Hata kule mbele Benzema anacheza kama hataki. Crosses zoote za Frank zinaishia kwa Ramos ...
Sasa Blanc si amtoe tu amuingize Ben Arfa ama Nasri?AGE kaka....
Sasa Blanc si amtoe tu amuingize Ben Arfa ama Nasri?
Na Beef lake na Nasri na Evra ndilo linawagharimu na kuwarudisha Paris....Nasri Coach kaamua kumuadhibu baada ya kutaka kupigana Camp.... At the same time bado ana beef na EVRA.... He thinks this is the best way of punishing him.........