Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
What a miss by Iniesta...
Bala hii nahitaji kuweka wazi... Mie ni kwa game ya leo tu..... Personally nipo GER.... Ila kwa hii game Moyo wangu upo POR na Akili ipo SPA.....I wish u all the Best kaka...
Bala is always a Portugal fan......Kwangu mimi Ureno ni kama Ze Gunners......Bala hii nahitaji kuweka wazi... Mie ni kwa game ya leo tu..... Personally nipo GER.... Ila kwa hii game Moyo wangu upo POR na Akili ipo SPA.....I wish u all the Best kaka...
Mie katika hizi mechi za kimataifa za soka huwa sitaki kuzikosa nyimbo za Taifa. Pamoja na kuwa sielewi maneno yake na nini zinamaanisha lakini nafurahia kuona reaction ya wachezaji kama wanaimba, wanatabasamu n.k. Uko kipande gani leo BJ? Ureno?
BJ ntakua nae POR leo... HAHAHAHAAA... may be... Swali ni Je wew BUBU upo upande gani????
Anachemka sana huyu Refa na dizaini kama anawabeba mabingwa wateteziREF need to be Xra Careful... Otherwise ataharibu game hii.....
Pole......Game umeionaje lakini?Mimi ninatetemeka hata vidole vinakataa kugonga keyboard, nitarejea baada ya mpira kumaliza AU Spain itakapopata bao la kuongoza. Kwa sasa ninajikunyata tu.