umekuwa mkaaaaaaali!Kwa hyo kama ni ajira,mume ndo mwajiri.
Acheni hzo.
Kwa hyo kama ni ajira,mume ndo mwajiri.
Acheni hzo.
umekuwa mkaaaaaaali!
Mambo? Rutta hajambo?
Ka ndo hivyo bac nami nahitaji kuajiriwa lol....
He!
Shost kwani bado hujaajiriwa?
Wenzio mpaka tunahamishwa vituo vya kazi,we bado?
uko na ile njemba iliyokuimbisha juzi?Rutta nimemuacha Dar,me niko Tanga.
Wewewe mume hawezi kuniajiri?
Atanilipa sh ngapi?
Au malipo dushelele?
uko na ile njemba iliyokuimbisha juzi?
Mko Tanga resort nije mnipe bia moja?
Kweli mtupu.
Mtoto mbichiii,afu sealed.