Labda anitekenye

Utajua wewe

JF-Expert Member
Feb 20, 2024
273
582
NI MCHEKESHAJI GANI AMBAYE HAWEZI KUKUCHEKESHA??
FB_IMG_1712580375086.jpg

[B]Mimi ni mkojani ,nasikia tu watu wanasema anachekesha.[/B]
 
Yaani nimemcheka Steve mweusi kaulizwa picha ya Kiba akaijua kapewa 10,000
Picha nyingine kaona mmoja kavaa suti akaanza huyu wa serikali huyu
Yaani kashindwa kumjua waziri wake wa ndani?
Hapo ndio kanichekesha
Ila hakuna wachekeshaji bongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom