Eti Watu wanasema........

chardams

JF-Expert Member
May 1, 2012
2,439
1,734
Eti watu wanasema kuolewa ni ajira hivi ni kweli??????????????????

Naombeni jibu maaana....
 
Mimi nilidhani (kutokana na title) kuwa mleta maada anazungumzia ule wimbo niupendao sana wa Chidumule akiwa Sikinde enzi zile unaoitwa "Maneno ya watu". Kina Kongosho walikuwa hawajazaliwa bado ila chorus ina maneno haya:

"Watu wanasema eti siwezi kuishi na wewe ingawa tumezaa."
 
Na mwaka huu usipohamishiwa tandahimba kufungua shamba jipya sijui? Mtafute Kongosho aakupeleke kwa yule mganga wa mange. Chamazi

Usinambie.
Ila shost c nimeambiwa kuwa hakuna dawa ya mapenzi?
Ya wapi tena.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom