Eti Watu wanasema........

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,326
2,000
vipi kaka unapenda madabwada kina Kongosho na Zinduna?

Wa mitumba ni wa mitumba tu kaka,vipya haviwezi...

Sasa na uzee wote huu kisa cha kujitafutia presha na watoto wapya akina Ciello

ilhali wazee wenzetu kama uliowataja hapo wamejaa tele,acha akuekue kidogo labda tutawezana..

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,326
2,000
duh.. Sasa kila anayetaka kukupa ajira unamkosoa! Mbona unadharau ajira jamani!! :)

Afadhali kaka umetusaidia kumweleza,hawahawa mwisho wa siku utawasikia jamani wanaume wachache ndio maana hatuolewi,wanaume wachache wapi na kina Paka Mweusi tumejaa mnatukataa.............hahahahahahaah...

Madame B

Verified Member
Apr 9, 2012
28,064
2,000
Povu la nini shem?
Na mishipa ya shingo imekudinda kisa ?
Mbona kuna vijielementi vya ukweli hapa ?
Sio hvo Shem.
Haukam kila kitu twafanya wote afu me ndo nionekane nimeajiriwa.
Basi mimi nimeajiri.
Haya me ndo Boss.

Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,398
1,225
Kinachokosekana mjini ni mashamba tu,,halafu chakula tunachokula mjini kinatokea vijijini how come vijijini ni maskini ilhali ndio wanaolisha mjini?Mjini hakuna kinachokosekana. Shauri yako. Wenzio twala bata tu tena wa kuchoma

Top Bottom