Eti Watu wanasema........

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Messages
5,102
Points
0

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2009
5,102 0
Mimi nilidhani (kutokana na title) kuwa mleta maada anazungumzia ule wimbo niupendao sana wa Chidumule akiwa Sikinde enzi zile unaoitwa "Maneno ya watu". Kina Kongosho walikuwa hawajazaliwa bado ila chorus ina maneno haya:

"Watu wanasema eti siwezi kuishi na wewe ingawa tumezaa."
 

Forum statistics

Threads 1,356,274
Members 518,876
Posts 33,129,360
Top