Eti Wanajiita #Team_Bazazi.................! !!

sosoliso narudia tenaheri mimi sijasema aise wakikurudia usinitaje kabisa mimi nimewaita tuu waje wenyewe waseme sasa wewe umewataja wakikutembezea kibano mi sipo
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Naona Mr Rocky wewe ndo unanitafuta ugomvi.Toka dunia iumbwe histroria inaonyesha hakunaga mabazazi wa kike hata siku moja. Wanaume ndio wanao mfumo bazazi na kama mwanamkeakijulikana ana tabia hiyo basi anaweza tengwa na jamii.Muulize Asprin atakuhakikishia.

Binamu yangu Zion Daughter nakuheshimu sana na lengo langu lilikuwa kuuliza kama hiyo kitu ipo na ufafanuzi wako umekuja kwa wakati wake na auone sosoliso
 
Mhh Zion Daughter hebu niweke sawa hapa.. Kwa hiyo anaweza kuwepo mwanamke bazazi ila atatengwa na jamii..?

Binamu yangu Zion Daughter nakuheshimu sana na lengo langu lilikuwa kuuliza kama hiyo kitu ipo na ufafanuzi wako umekuja kwa wakati wake na auone sosoliso

Mhhh Mr Rocky.. Hapa katajwa #bazazi veterani babu Asprin.. Labda aje kusaidia kutoa maelezo maana mzee wa ODM ni mdau mzoefu..
 
Last edited by a moderator:
Binamu yangu Zion Daughter nakuheshimu sana na lengo langu lilikuwa kuuliza kama hiyo kitu ipo na ufafanuzi wako umekuja kwa wakati wake na auone sosoliso

Same here cousin!!! Happy Valentine in advance!!
images
valentine_flowers_002.gif
 
Ha ha ha ha Baba V.. Mfadhili wao kachimba bonge la biti ati atakaemuita bazazi atakaiona lol..

Niliona "kankwara" kake eti amekaandika kwa red kabisa ili tutishike. Sasa kwa taarifa yao nafanya mawasiliano na MKULU ili #TeamBazazi nao wawe na mwakilishi katika bunge la katiba... nataka aingie Zion Daughter..
 
Last edited by a moderator:
Naona unajiingiza tu kwenye hilo kundi la ''Punch'' wa JF

Mweeeeh Zion Daughter.. Nimefwanywaje tena mie..?

Mimi ni mama mchungaji nikisaidiana na mchungaji Bujibuji .Wakinipa tu uwakilishi wanajua cha moto watakiona.Tena nitakuja na Anointing water.

Back
Top Bottom