Eti Wanajiita #Team_Bazazi.................! !!

Eti Wanajiita #Team_Bazazi.................! !!

Last edited by a moderator:
Kuna mtu ananitafuta hapa sijui nimfanyizie 'Valentina' angalia vizuri nina ugwadu:shock::shock:



Binamu Chocs mimi mzima kabisa hofu ni kwako Erickb52 mzima na amesharudi kutoka meatu kuwaaangalia watoto wake

Hahaaa kwani uongo jamani? Ebu angalia vizuri yani ni wewe kabisaaa!! Wambie mods bas warudishe kidude cha like
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa kwani uongo jamani? Ebu angalia vizuri yani ni wewe kabisaaa!! Wambie mods bas warudishe kidude cha like


Nimetoa macho kwa kuwa nina ugwadu muulize Mentor hali aliyonikuta nayo jana wakati niko mitaa fulani natafuta kipoozeo
 
Last edited by a moderator:
watoto au watu wazima?

kuna mkoa huwezi kufika ukiwa na kipara lazima uvae kofia wakikuona tu lazima waondoke na ngozi ya kipara
 
Mimi ni dereva wa TeamBazazi lakini sihusiki kabisa na wayafanyayo...


Mbona kwenye register ya member naona jina lako na card yako na no ya kadi na lini ulisajiliwa na kazi zako mkuu watu8
 
Last edited by a moderator:
Mbona kwenye register ya member naona jina lako na card yako na no ya kadi na lini ulisajiliwa na kazi zako mkuu watu8

Mmh!! hiyo ni aksesi kadi tu ila sio rejistresheni kadi...si unajua dereva wa bosi ni bosi pia
 
Last edited by a moderator:
Mmh!! hiyo ni aksesi kadi tu ila sio rejistresheni kadi...si unajua dereva wa bosi ni bosi pia


Hebu ngoja kwanza nikasafishe uso inawezekana macho yangu yanaona makengeza au yameshazeeka sana nivae mawani ya mbao kama ya Babu Dark City
 
Last edited by a moderator:
kutoka no1,2,3 ya nne kushoto ni kama M vile ila anapua kubwa huyo ya kwake ni ndogo
hahahhaaa umeanza uchokozi sasa, ngoja kuna mabingwa wakutaja wenzao watafika hapa sasa hivi....picha nzuri lakini kila nikiangalia ni kama vile naona picha moja..............ila kwa mbaaali namuona Mzee Mtambuzi Mentor naye eti kafika pia.
 
ninyi mbona mnamtajataja baba yangu kwenye kundi lla hao wasiofundishika hapo juu
samahani sana tena sana msitaje taje sana hayuko huko huyo

ladyfurahia baba yako watu8 anajifanya mwema sana nyumbani ila kiukweli ni balaa ni member wa #teambazazi na anajulikana kabisana card ya uanachama anayo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom