Eti Wanajiita #Team_Bazazi.................! !!

Eti Wanajiita #Team_Bazazi.................! !!

Mjukuu wako Mentor sijui ana matatizo gani maana yeye ndio chanzo cha kila kitu na mwenzake Rogie hao wanatakiwa wachukuliwe hatua za haraka za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kunyimwa kufanya mambo yao kwa mwezi mzima

Hahaha naomba legal actions zianze Monday maana kwa sasa tayari nimefanyiwa booking ya leo jioni.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha naomba legal actions zianze Monday maana kwa sasa tayari nimefanyiwa booking ya leo jioni.

Rogie zinaanza leo na kwa kuwa babu amekasirika adhabu inaanza mara moja na utazuiwa kufanya mambo yako kuanzia muda huu kwa mwezi mzima
 
Last edited by a moderator:
Safi sana mkuu...

Yaani hata sijui ni mtu gani alikengeuka na kuniweka kwenye hili kundi...

Naomba uwambie wajukuu wote especially Mentor kuwa kuanzia sasa nitachukua legal actions bila kuangalia mtu usoni....

Babu ataitwaje Bazazi bwana??

Hahahaha Babu alipashwa kuitwa Bazaz Mstaafu?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mr Rocky kuna haja ya kuitisha uchaguzi ili mimi nibaki kwenye baraza la ushauri tuu.Muda wa kamati tendaji umekwisha.Ni bora demokrsia ikachukua nafasi yake.
mayenga wazo lako liwakilishe kwa Mwenyekiti aliyeko madarakani Kaizer

Mie simo Mr Rocky.. Naomba nafasi yangu apewe Bujibuji..
sosoliso hakuna cha kutoa nafasi kwa mwingine mapendekezo yashafika kwa kamati ya utendaji na majina yashapitishwa

Naomba niwe supervisor

Kama unataka nafasi zote mbili utapewa pia usiwe na wasi wasi Erickb52 nafasi bado ziko nyingi tuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom