Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,601
- 6,723
if possible mkuu itabidi tufanye nae live interview kama hatojali,ila bado nakupa hongera kwa kujivua gamba na kuwa tayari kumuweka wazi valentine wako sijui kama mabazazi wengine wanaweza hata kuthubutu kufanya hili.
Nashukuru mkuu,endapo atakubali kwa ridhaa yake kuhojiwa mimi sina neno.
