Eti Wanajiita #Team_Bazazi.................! !!

huwezi kujua maana ukubwa uliupatia hospitali, hao wametoka kutahiriwa na hapo wameisha pona kwa hiyo ndio siku ya kurudi nyumbani , mnafanyiwa sherehe kidogo kisha kila mzazi anamchukua mtoto wake, ndio maana unaona wamebandika ndevu na kunyolewa nywele kuonyesha sasa wao si watoto tena. hilo ni jando la porini siku hizi hakuna tena
hata sijui maana yake nini.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Naomba kuweka wazi kuwa nimenasa kwa mrembo mmoja humu JF na ninaomba nieleweke kwamba najivua kutoka kwenye kundi la #TeamBazazi kwasababu natambua thamani ya penzi la mrembo huyu na ninajali zaidi hisia zake.
Endapo atajisikia mwenyewe kwa hiari yake atakuja hapa kutoa neno lolote.

KR,
Rogie

CC watu8 Nicas Mtei, Mentor Vin Diesel Mr Rocky Mndengereko Mtambuzi and the boss lady Heaven on Earth.

hahhahh yaani mkuu usinase siku zote uje unase siku ya wapenda nao,hahahah kweli hapa mbuzi kafia kwa muuza supu,ila hongera mkuu kwa kuopoa chombo as long as mapenzi ni kikohozi... Hope huyu mlimbwende atakuja na kujivua gamba hapa,wish u all the best kwenye siku ya wapenda nao.
 
Mkuu si unajua hii kitu ni koh koh so ikifika wakati inabidi ukohoe tu hakuna jinsi.​
 
Naomba kuweka wazi kuwa nimenasa kwa mrembo mmoja humu JF na ninaomba nieleweke kwamba najivua kutoka kwenye kundi la #TeamBazazi kwasababu natambua thamani ya penzi la mrembo huyu na ninajali zaidi hisia zake.
Endapo atajisikia mwenyewe kwa hiari yake atakuja hapa kutoa neno lolote.

KR,
Rogie

CC watu8 Nicas Mtei, Mentor Vin Diesel Mr Rocky Mndengereko Mtambuzi mwekundu Kaizer and the boss lady Heaven on Earth.

umekosea naomba brother Rogie umtaje vinginevyo wewe ni.................zi!!ukimtaja tunakutoa kwenye kundi la Mentor na Nicas Mtei
 
Last edited by a moderator:
Naomba kuweka wazi kuwa nimenasa kwa mrembo mmoja humu JF na ninaomba nieleweke kwamba najivua kutoka kwenye kundi la [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teambazazi]#teambazazi [/URL] kwasababu natambua thamani ya penzi la mrembo huyu na ninajali zaidi hisia zake.
Endapo atajisikia mwenyewe kwa hiari yake atakuja hapa kutoa neno lolote.

KR,
Rogie

CC watu8 Nicas Mtei, Mentor Vin Diesel Mr Rocky Mndengereko Mtambuzi mwekundu Kaizer and the boss lady Heaven on Earth.

Yaani mkuu Rogie umesubiri weeee mpaka valentine ndo unajivua gamba
hatudaganyiki hapa na huyo mrembo kama alivyosema Mndengereko hapo juu mbuzi kafia kwa muuza supu jua hapo nini kitatokea
Bado uko kwenye #teambazazi mpaka taarifa itakapotolewa na mwenyekiti wenu Asprin na Mentor
 
Siku mvua ikinyesha asubuhi au manyunyu tu tunasema siku itakuwa yenye baraka.
Penzi limeanza siku wa Wapendanao so tunaimani mapenzi yatakuwa na upendo all life long.
 
Wasi wasi wangu ni kuwa je umempenda au kuna kitu unakitafuta kwa siku ya leo tuu ya valentine na ukishakipata unarudi kwenye u #teambazazi wako maana nina wasi wasi huyo mrembo kanunua mbuzi kwenye gunia
 
Yaani mkuu Rogie umesubiri weeee mpaka valentine ndo unajivua gamba
hatudaganyiki hapa na huyo mrembo kama alivyosema Mndengereko hapo juu mbuzi kafia kwa muuza supu jua hapo nini kitatokea
Bado uko kwenye #teambazazi mpaka taarifa itakapotolewa na mwenyekiti wenu Asprin na Mentor

nashangaa mkuu anataka kuwakimbia kwenye ubazazi sasa sijui kampany mtapata kwa nani??
 
Last edited by a moderator:
Mndengereko huyo hana hata mpango wa kukimbia team hii hapo ni mambo ya leo Valentine tuu kesho utamuona jamvini akiongea mengine
 
Last edited by a moderator:
Mkuu leo jioni nitakuwa na utambulisho rasmi na tutaweka wazi humu,hapana shaka.

if possible mkuu itabidi tufanye nae live interview kama hatojali,ila bado nakupa hongera kwa kujivua gamba na kuwa tayari kumuweka wazi valentine wako sijui kama mabazazi wengine wanaweza hata kuthubutu kufanya hili.
 
Back
Top Bottom