Eti Wanajiita #Team_Bazazi.................! !!

Eti Wanajiita #Team_Bazazi.................! !!

chopeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
1,527
Reaction score
1,113
hata sijui maana yake nini.

attachment.php
 

Attachments

  • 02.jpg
    02.jpg
    69.1 KB · Views: 2,588
hahahhaaa umeanza uchokozi sasa, ngoja kuna mabingwa wakutaja wenzao watafika hapa sasa hivi....picha nzuri lakini kila nikiangalia ni kama vile naona picha moja..............ila kwa mbaaali namuona Mzee Mtambuzi Mentor naye eti kafika pia.
Naomba wataje kwa majina yao...kutoka kulia kwenda kushoto
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
nipo salama.............najiandaa na bunge la katiba!


Unawakilisha kundi gani aise na unaenda na mawazo ya kuwa na serikali ngapi na je mamlaka ya rais yanakuwaje yapunguzwe au aendelee kuwa kama Mungu mtu
 
Mkuu Dark City naomba niombe radhi mkuu wangu nitaacha kuanzia leo kuweka jina lako humu kwenye hii #teambazazi
Samahani mkuu

Safi sana mkuu...

Yaani hata sijui ni mtu gani alikengeuka na kuniweka kwenye hili kundi...

Naomba uwambie wajukuu wote especially Mentor kuwa kuanzia sasa nitachukua legal actions bila kuangalia mtu usoni....

Babu ataitwaje Bazazi bwana??
 
Last edited by a moderator:
Safi sana mkuu...

Yaani hata sijui ni mtu gani alikengeuka na kuniweka kwenye hili kundi...

Naomba uwambie wajukuu wote especially Mentor kuwa kuanzia sasa nitachukua legal actions bila kuangalia mtu usoni....

Babu ataitwaje Bazazi bwana??


Mjukuu wako Mentor sijui ana matatizo gani maana yeye ndio chanzo cha kila kitu na mwenzake Rogie hao wanatakiwa wachukuliwe hatua za haraka za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kunyimwa kufanya mambo yao kwa mwezi mzima
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom