Maandamano ya Gen Z nchini Ufaransa

Maandamano ya Gen Z nchini Ufaransa

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,077
Reaction score
5,996
Kumetokea vurugu kubwa nchini ufaransa yaliyosababishwa na waandamanaji maarufu wanajiita Gen Z
Watu wanavamilia maduka nakuchukua vitu wamechoma majengo

Lakini pamoja na yote hayo hakuna raia hata mmoja akiepigwa risasi inaonyesha jinsi gani wenzetu wa france wanajari utu wa raia wake

Ingelikuwa malawi watu wangepigwa risasi za vichwa muda huu tungekuwa lock down ndio maana nasemaga shetani alikuwa mwaafrika wazungu wako sahihi kumchora shetani kama mwaafrika
 
kwanza policia wa france hawatembei na libe bullets kwenye maandamano.

Wako na Fimbo + Mabomu ya machozi ya kutosha
 
Back
Top Bottom