Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Taja ww cha maana kipi?Kweli ujaona la maana mpaka sasa alilofanya Magu? Kweli kabisa unaongea toka rohoni? Kwa roho ya namna ukipewa kichapo kwa ukaidi utasema unanyanyaswa?
Ndege mbili ambazo TUNAAMBIWA zinakuja?Zipo wapi?
Kajenga viwanda vingapi?
Katoa ruzuku za pembejeo kwa wakulima wa wapi?
Kuhamia Dodoma?