Eti uchochezi, uchochezi gani?

Eti uchochezi, uchochezi gani?

Check wanavyofukua Makaburi bila kujua msimamo wa GT

Ndo maana wanaitwa wapumbavu.

Wanadhani labda wamevumbua mgodi wa dhahabu wakati msimamo wangu unajulikana wazi.

Nishamchana Magufuli humu mara kibao tu na nimeshawachana CHADEMA pia.

Sasa hawa nyumbu sijui walikuwa wapi!
 
Hizi habari za uchochezi mimi sizielewi kabisa.

Hao watu wanaotuhumiwa sijui kuchochea, wamechochea kitu gani?

Kumpindua Magufuli?

Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye.

Katika viongozi ambao Tanzania imewahi kuwa nao tokea tuanze kutawaliwa na CCM huyu jamaa atakuwa anaongoza kwa kutokuwa na busara wala hekima.

Hovyo kabisa!

Sitashangaa JF nayo ikifungiwa kwa kupromoti uchochezi wa akina Ngabu😉.
1500581621190.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana wanaitwa wapumbavu.

Wanadhani labda wamevumbua mgodi wa dhahabu wakati msimamo wangu unajulikana wazi.

Nishamchana Magufuli humu mara kibao tu na nimeshawachana CHADEMA pia.

Sasa hawa nyumbu sijui walikuwa wapi!
Nyumbu wanahitaji la kuvushwa mto Mara...ndicho kinachofanywa na GTs
 
watu wanasahau kuwa kutesa ni kwa zamu. leo yako kesho yangu
 
Km hamuelewi ni kwamba nchii hii inatawaliwa na CHADEMA kwa rangi nyingine. Tazama eatu wanavyohaha kila kona. Akipita mzee mweupe ulinzi ni hali ya juu. Ht photographers hawaruhusiwi kumsogelea. Akiongea mr. Sheria ndio basi tena kila kona watu wanajikuna. Chezea CDM weye. Watu wanahenyeshwa. Yote ya CDM ndio yamepewa kipaumbele . Bisha we kanyaboya uliyezoea kubisha. Sitokushangaa maana hata hakuna usichobisha wewe. Kuna siku ulibisha kwamba eti wewe hukuzaliwa.
 
Hahahaa...mbona hakuna jipya.

Nimeshamchana mara kibao humu Magufuli.

Nikupe link ya threads zingine nilizomchana?
Mkuu huu uzi wako una uhai na utaendelea kula oxgen hadi mr chato atoke madarakani
 
mi mpaka leo staki kuamini watanzania waliamini kweli cherehani nne ni kiwanda!!!! na aliye sema ivo bado waziri!!!!
 
mi mpaka leo staki kuamini watanzania waliamini kweli cherehani nne ni kiwanda!!!! na aliye sema ivo bado waziri!!!!
kwani unadhani kiwanda cha nguo kinatengezaje nguo?
 
Magufuli kasoma Chemistry mpaka Ph.D (ingawa kuna minong'ono kwamba Ph.D kafanyiwa, lakini hata bachelor tu inatosha)

Anatakiwa ajue definition ya catalyst na umuhimu wake katika chemical reaction.

Anavyo act anakuwa kama vile hajui kwamba upinzani unaweza kuwa ni catalyst katika Chemical reaction ya kutafuta maendeleo Tanzania.

Labda wamueleze hivyo kikemia ataelewa, maana siasa hawezi.
Nimeipenda hii statement ya kikemia
 
Back
Top Bottom