Tehe tehe tehe .........loading
Natamani wimbo wa taifa upigwe ghafla.
Check wanavyofukua Makaburi bila kujua msimamo wa GTHalafu nyumbu siku hizi kutwa kucha wanadai eti mimi namuunga mkono/ namtetea Magufuli kwa sababu ya ukabila!
Lakini kama watu wenyewe ni manyumbu unategemea nini zaidi ya unyumbu tu?
Hizi habari za uchochezi mimi sizielewi kabisa.
Hao watu wanaotuhumiwa sijui kuchochea, wamechochea kitu gani?
Kumpindua Magufuli?
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye.
Katika viongozi ambao Tanzania imewahi kuwa nao tokea tuanze kutawaliwa na CCM huyu jamaa atakuwa anaongoza kwa kutokuwa na busara wala hekima.
Hovyo kabisa!
Sitashangaa JF nayo ikifungiwa kwa kupromoti uchochezi wa akina Ngabu😉.
Sifa moja kuu ya mtanzania ni UNAFIKI. Liangalie sasa linyani Ngabu. Limekuja kugundua baadaye Para Sizonje ni kabila lake
Nenda kampe kampan Lisu wewe acha kuota.Natamani wimbo wa taifa upigwe ghafla.
Pole yako! Hata ikitokea hivyo Lowasaa hakanyagi ikulu ng'oUkiusikia ni PM maana itabidi nilale nakunywa dompo tu mpaka asubuhi
Ha ha ha haaaaaaa.. Sikuhizi Ni visasi Tu.Check wanavyofukua Makaburi bila kujua msimamo wa GT
I don't give a shyt about principles when it comes to the zero brains of the same genes from the same ethnicity (bashite)With your pea-sized brain I don't expect you to understand principles.
rudisheni hilo jimbo UkraineNenda kampe kampan Lisu wewe acha kuota.
......
I don't give a shyt about principles when it comes to the zero brains of the same genes from the same ethnicity (bashite)
Unajua uhuru ni kitu kizuri sana maishani.
Watu hata kama wako maskini lakini wakiwa na uhuru watajisikia vizuri na watakuwa wenye furaha.
Sasa huyu jamaa hata mwaka hajamaliza tayari keshatengeneza hali na mazingira ya watu kujisikia hawako huru.
Kama kuna mchochezi namba moja basi usitafute mwingine zaidi ya Magufuli.
Hehehehehe... Wamefukua slediiii