Umeshaanza kuharibu sasa,unafikiri mimi ni kama wewe uliyemroga Madame B kwa uchawi wako wa Lubumbashi mpaka akawasahau Chilli tedo na Ruttashobolwa...
Shhhhhhhhhh! Usiku sa hv,,endelea nae huyo binti
Za jioni mwanasheria......
Bichwa kubwa kama Treni ya Mwakyembe.
Ushatoa sri zangu muda huu ndo unanitafuta.
Husahau tu,nilikuwa nampima shem kama ana mapenzi ya dhati kwako...
Huna lolote unanionea wivu tu.
Na Bado mwaka Huu utasubiri sana Meli Airport.
Salama paka mweusi, i thought umenasa Temeke
Lile tukio mbona nimesikia muhusika mkuu ulikuwa ni wewe....
Sema polepole basi si unaona nishaanza kumuita shem,natengeneza mazingira ya kumpiga mtu mzinga hapa...
Ili niwe mwenyeji wa jukwaa hili la Chit Chat?
Kwa kifupi mimi ninaishi Arusha, lakini nimezaliwa Dar na kukulia Dar ingawa wazazi wangu ni wenyeji wa Kilimanjaro. Kule Arusha niko Kibiashara, nikisafiri safiri kwenda Nairobi na Kampala kibiashara.
kwa sasa niko Dar kwa wazazi wangu nikisubiri kula sikukuu.
tena kichwa kinang'aa kama kirungu cha gia...
lol! nyie watu mnachekesha sana hahahahah!!! :msela:
hahaha...mkuu si unajua tena kabla ya kulala inabidi kuondoa hasira zoteeee
Nipo dada, nilikuwa nasoma mchezo maana charminglady kuw ahumu kuna waume za watu nisije vamia koloni la watu nikatolewa ngeu, hapa najaribu kusoma mchezo
Kuna mkaka anaitwa Ruttashobolwa na tedo naona kama vile wananinyatia, je wana wenyewe hao au nijitwalie mmoja?