Eti, nifanye nini?


dada unaweza wamiliki wote kwa mpigo...
 
Kaka kumbe unatuchungulia?
Na wewe uzalishe sasa sio ulete ubishoo wako hapa.
Unataka feedbak ya nini?
kama ile kitu masafiri ni kesho.
Jingine.............

Oukei.. Tuombeane uzima na afya.
 
Unajua voodoo 'those who know don't talk and those who don't know keep on talking'


kumbe upo around...
Ulikunywa juisi ya Tende na maziwa nini? maana mapacha si mchezo ati lazima utakua ulishughulika kama mwiko wakti wa kusonga SEMBE
 
Nitaweza wapi mie mijanadume miwili!

basi kaa chini utafakari nani atayekufaa, siku utayoamua utatangaza nia....siye kazi yetu itakua ni kupuliza matarumbeta na kupiga miluzi
 
Unajua voodoo 'those who know don't talk and those who don't know keep on talking'

Voodoo!! kwa hiyo kamati ya ufundi imehusika kusababisha kibendi cha mapacha???
 
Duh, dada unaniacha hoi

kuwa makini sana na huyo unamuita dada...kama unataka tukukute mtaa wa sita na chupi mkononi basi endelea kumkenulia huyo mamito ambaye ni Shem wangu wa damu kabisa....
 
Hairuhusiwi kuwa na zaidi ya mwanaume,ikijulikana utasutwa na picha zako za aibu zilizopigwa thru satelite zitawekwa hadharani

Nitaweza wapi mie mijanadume miwili!
 
Hivi ukutaka kupinga urafiki na mtu ki JF unafanyafe vile maana mie sina rafiki hata mmoja
 
Hivi ukutaka kupinga urafiki na mtu ki JF unafanyafe vile maana mie sina rafiki hata mmoja

rudi jukwaani tena kesho mchana...sasa hivi wanaCC wengi ndio muda wa kupumzisha nyeti zao
 


Hapo shoga yangu hakuna mwanaume hata mmoja wote ni wanaume suruali.
Sana sana utaishia kuchunwa wewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…