Eti huyu ni mke wa mtu,tena kaolewa kwa ndoa ya kanisani kabisa na watu wakakusanyika ukumbini kuhudhuria sherehe ya harusi yake.

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,054
Reaction score
16,507
Merry Christmas everyone out there.
Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana.
Hapa chini ni conversation yangu na yeye jioni hii,yani hizi ndoa mliooana kazi mnayo kubwa sana.
 
Attachments

  • Screenshot_20241225_192825_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20241225_192825_WhatsApp.jpg
    100.5 KB · Views: 35
Kazi ipo. Saizi ni mashindano, ndoa au mahusiano yamebakia kuwa sehemu ya kutimiza malengo kama kuzaa, kuwa na kwako, kazi, biashara etc ila hii inayoitwa sex kila mmoja anapambana aipate mazingira yoyote alipo anapohihitaji.
 
Merry Christmas everyone out there.
Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana.
Hapa chini ni conversation yangu na yeye jioni hii,yani hizi ndoa mliooana kazi mnayo kubwa sana.
Unaibiwa shtuka
 
Kudadaeq
Kwa mwendo huu👆 hapana
 
Wanakuja kuunga tela..
Kuna mchaga alisema. (Wanaume wakila hawasemi)
 
Back
Top Bottom