mtatamani mengi tu ila hayawasaidiiii
Wana JF, meskia tetsi kwamba Badra Masoud, yule dada madoido wa lile shirika la Umama Tanesco ametimuliwa katika ile post aliyokuwa akishikilia ya Public Relation Officer, plz mwenye data za uhakika ebu atujuze bac!
Wana JF, meskia tetsi kwamba Badra Masoud, yule dada madoido wa lile shirika la Umama Tanesco ametimuliwa katika ile post aliyokuwa akishikilia ya Public Relation Officer, plz mwenye data za uhakika ebu atujuze bac!
Ruta, kwani kuwa PRO wa technical company lazima uwe technical man?. Nitajie PRO mmoja tuu ambaye ni technical man, nami nitakutajia ma PR 10 wazuri tuu kwenye taasisi za technical ambao ni watu wa pressLingine hana ujuzi wa kazi hiyo ya kuzungumzia masuala ya kiufundi wakati yeye siyo wa taaluma husika....................it was manpower misallocation of the highest order......................................
Ruta's definition of a PRO was misleading of highest degree...Ruta, kwani kuwa PRO wa technical company lazima uwe technical man?. Nitajie PRO mmoja tuu ambaye ni technical man, nami nitakutajia ma PR 10 wazuri tuu kwenye taasisi za technical ambao ni watu wa press
kama Badra.
mbona ndani ya hiyo beitul-el jaib tuliitamani now tumeipata na tuko sote!
Ruta, kwani kuwa PRO wa technical company lazima uwe technical man?. Nitajie PRO mmoja tuu ambaye ni technical man, nami nitakutajia ma PR 10 wazuri tuu kwenye taasisi za technical ambao ni watu wa press
kama Badra.
Mbona ndani ya hiyo Beitul-el Jaib tuliitamani now tumeipata na tuko sote!
Kama alivyoingia Tanesco hamkushangaa, kwa nini mnashangaa kutoka kwake!
Tatizo sio badra kutimuliwa.. sytstem nzima imeoza pale wafyagie wote waweke wachapa kazi
tanesco inahitaji overhaul ya kufa maana
sasa ukimtimua badra wengine wako pale pale unakua umefanya nini?
Wapo wanaosema alikuwa ni chakula ya Dr. Rashid.................................kwa hiyo kuondoka kwa Dr. Rashid ni lazima kutasababisha maumivu kwa watu wake.................................ila sijui habari hii kama ni ya kweli.......................
Lingine hana ujuzi wa kazi hiyo ya kuzungumzia masuala ya kiufundi wakati yeye siyo wa taaluma husika....................it was manpower misallocation of the highest order......................................