Eti Badra Masoud wa TANESCO ametimuliwa katika post ya PRO?

wafuasi wote wa idrisa lazima watoke?

Yes chini ya William (Mhando) umeme umepatikana, hakuna mgao wa umeme tena, Doawns watalipwe vizuri tu, tatizo la Taneso in short ilikuwa Idrisa (rashidi) basi kwakuwa ameondoka sasa wizara inaenda vizuri sana...umeme umeshuka bei, kero za umeme zimeisha...bravo William safisha hao wote wafuasi wa idrisa waikuletea balaa.

If wishes were horses.......
 
Kakukosea nini dada wa watu? Au ndio zile hulka zetu za kutokubali mtu akuzidi. Akiwa juu tu basi kila siku ni mastori.
 
Kama umeme unapatikana kuna tatizo gani? Swala kubwa hapa ni mapambano na ufisadi na katiba mpyaa na siyo hawa akina dada wanaouza sura ili wapate ubunge viti maalum na pro, kuna mwingine kule nmb naona kila kukicha ni kuuza sura na kuvaa kijani kibcichi sijui naitwa nani vile....sijui rose bhanji
 
kwamba Badra Masoud, yule dada madoido
Mwafrika hajazoea, na hawezi kuvumilia, kuona Mwanamke mwenye confidence and presence kwenye nafasi ya mamlaka. Tunategemea Mwanamke awe ni mtu wa kuona ona viabu viabu, kuongea akicheka cheka, na ku flinch mbele ya walume.

Na kile kiti kukaliwa na Mwanamke haiwezekani, Mwafrika atasema lazima amehonga ngono kwa Idrisa Rashid the former CEO." Hatujazoea.

Ndio maana subconsciously unaona kama ni "madoido."
 
Badra kama umeondoka nitakulilia maana ulisaidia sana kutuweka wazi na kutusaidia tulipokuwa na matatizo na TANESCO baada ya kuangukiwa na nguzo hapa Tabata Matumbi. Tutamiss services zako dear!
I am sure you will remain to be Iron lady wherever utakaku kuwa.

USIJE KUPOTEZA ILE SPIRIT YA KUWA MPIGANAJI
 
Kama umeme unapatikana kuna tatizo gani? Swala kubwa hapa ni mapambano na ufisadi na katiba mpyaa na siyo hawa akina dada wanaouza sura ili wapate ubunge viti maalum na pro, kuna mwingine kule nmb naona kila kukicha ni kuuza sura na kuvaa kijani kibcichi sijui naitwa nani vile....sijui rose bhanji
shuga mamii,shugha mamii
 
Ruta, kwani kuwa PRO wa technical company lazima uwe technical man?. Nitajie PRO mmoja tuu ambaye ni technical man, nami nitakutajia ma PR 10 wazuri tuu kwenye taasisi za technical ambao ni watu wa press
kama Badra.

Shyrose sio banker pia
 
Mwafrika hajazoea, na hawezi kuvumilia, kuona Mwanamke mwenye confidence and presence kwenye nafasi ya mamlaka. Tunategemea Mwanamke awe ni mtu wa kuona ona viabu viabu, kuongea akicheka cheka, na ku flinch mbele ya walume.

Na kile kiti kukaliwa na Mwanamke haiwezekani, Mwafrika atasema lazima amehonga ngono kwa Idrisa Rashid the former CEO." Hatujazoea.

Ndio maana subconsciously unaona kama ni "madoido."

Mwanaume daima atakuwa ni basis ya kujenga au kubomoa confidence ya mwanamke...trust me hata Salma anapata confidence sababu ya mumewe...ndio nature kaka
 
Public relations Officer anahusikanaje na lawama za mgawo wa umeme? Kazi ya Badru Masoud kama PRO ni kuwahabarisha watumiaji wa Umeme kuhusu kile kinachoendelea ndani ya TANESCO. Kama watakuwa wamemutimua basi wamemuonea! Yawezekana bosi wake kamunyima mavituz.......!
 
wafuasi wote wa idrisa lazima watoke?

Yes chini ya William (Mhando) umeme umepatikana, hakuna mgao wa umeme tena, Doawns watalipwe vizuri tu, tatizo la Taneso in short ilikuwa Idrisa (rashidi) basi kwakuwa ameondoka sasa wizara inaenda vizuri sana...umeme umeshuka bei, kero za umeme zimeisha...bravo William safisha hao wote wafuasi wa idrisa waikuletea balaa.

labda kwenu kimbiju ndio shida ya umeme imeisha kwa tanzania hii uliyopo na wewe tatizo bado kubwa sana siasa ndio zilizobaki
 
tatizo sio badra kutimuliwa.. Sytstem nzima imeoza pale wafyagie wote waweke wachapa kazi

tanesco inahitaji overhaul ya kufa maana

sasa ukimtimua badra wengine wako pale pale unakua umefanya nini?

tanesco intakiwa wabadilike sanakiutendaji nawaache kufanya kazi kwa mazoea
 
Mwanaume daima atakuwa ni basis ya kujenga au kubomoa confidence ya mwanamke...trust me hata Salma anapata confidence sababu ya mumewe...ndio nature kaka
na Ridhiwani anapopata confidence sababu ya Babake, na yeye tumwite Mwanamke? Salma kupata confidence ya Jakaya ni sawa sawa na a Philemon Luhango kupata confidence ya kuwa karibu na kiongozi mkubwa, period. Nothing to do with "ndio nature." Sio nature, quite absurd.

ni fikra ya Kiafrika, sio nature.

Tena ukijaliwa kupata mtoto wa kike, au kama unae, tafadhali sana usimfunze hizo chauvinist myths za zama za kale, atabaki kuwa subject wa Mwanamme milele.

And from personal experience, Mama yangu asingekuwa na confidence, natural confidence, mimi nisingekuwa mtu nilivyo leo hii.
 
Ni mtazamo na msimamo wako...Salma ni mfano wangu na sijamgusia Ridhiwani wala Luhanjo kwa hiyo usinigombanishe nao...kama wana mapungufu na confidences zao mimi sijui na ni shauri zao...wewe kama umejaliwa na hizo genes za mama yako una bahati(sijui mbaya au nzuri)...lakini naturally ni hivyo duniani na si Africa tu...angalia hata America pamoja na maendeleo yao yote ni wanawake wangapi wameshakua marais?...hapo mambo yao ya nje tu ni watatu tu tena toka 1996!!
 
Kuna mashirika mengi ya umma lakini kinachonishangaza ni kuona yale mashirika au taasisi zinazoongozwa na watu wenye majina kama Idrisa Rashid,Ramadhan dau,au hata PR kama Badra majina haya hutajwa sana hasa na vyombo vya habari.Utadhani mashirika mengine hayana viongozi au kama wao hawaonekani kukosea.Hivi wangapi wanamjua PR wa ATCL? Director wa PPF? Lakini leo akihamishiwa Ramadhani dau PPF kila mtu atajua kuwa director ni nani.Hii hutokana na nini?
 
Back
Top Bottom