Eti alimsahau mtoto wake kwenye gari

Eti alimsahau mtoto wake kwenye gari

Status
Not open for further replies.
Kesi kama hizi zinatokea sana wakati wa summer, nimeshasikia kesi kama hizi zaidi ya saba na mara nyingi watoto hufa. Kuna moja wasamaria wema walimuona mtoto akiwa kwenye gari wakapiga 911 police walipokuja wakavunja kioo ili kumnusuru mtoto.
 
Lakini mtu unamsahauje mtoto wako kwenye gari tena wakati wa majira ya joto?

Georgia kuna joto sana wakati wa summer. Hako katoto kaliteseka sana aisee.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
​Ni uzembe tena wa hali ya juu.

Lakini mtu unamsahauje mtoto wako kwenye gari tena wakati wa majira ya joto?

Georgia kuna joto sana wakati wa summer. Hako katoto kaliteseka sana aisee.
 
(CNN) -- What sounded like the most tragic of accidents -- a dad absentmindedly leaving his toddler in the car on a scorching Georgia day -- is now being treated by police as a horrific, and intentional, crime.

I want them (the authorities) to throw the book at him.

How in the hell can you forget about your own son? Leave him in the car for seven hours on a hot day with all windows rolled up?

It just doesn't compute!
 
Kesi kama hizi zinatokea sana wakati wa summer, nimeshasikia kesi kama hizi zaidi ya saba na mara nyingi watoto hufa. Kuna moja wasamaria wema walimuona mtoto akiwa kwenye gari wakapiga 911 police walipokuja wakavunja kioo ili kumnusuru mtoto.

Achilia mtoto kuna day natoka hospitali tu kuna babu kapiga 911 kuita police paka kaachwa kwenye gari na vioo vimefungwa.... hawa viumbe wandaazimu sana sahau ganii ya namba hiyo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Agreed, soon they will have sufficient evidence to throw him away for good.

I want them (the authorities) to throw the book at him.

How in the hell can you forget about your own son? Leave him in the car for seven hours on a hot day with all windows rolled up?

It just doesn't compute!
 
Teh !!!makurubembe mpoo a.k.a waliwajii mpoo nimerudii rasmii waliwaji hua wana hasiraa aisee utan wa karibia na ukweli mbaya kweli nimekoma wajamenii
 
Hahahaaaaaaaa! Umetumwa wewe si bure! Nimeshajisalimisha mwenyewe! Mdamwengine bora kussurrendar! Zimwi unijualo usinile. Basi nikakwisha!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom