Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,869
Siku zote nasema.
Bila kuwaondoa CCM madarakani, Tanzania tutakuwa tunacheza biashara ya pata potea kila siku.
Nchini Ethiopia, Serikali yao wamekamilisha ujenzi wa Bwawa la Umeme kubwa zaidi Afrika kwa kutumia fedha za ndani na michango ya Wananchi wao hasa Diaspora.
Hayo yakifanyika, hapa kwetu Tanzania CCM wamechangisha harambee ya Bil 86 kwa ajili ya kufanya kampeni tu wakati tunanunua Umeme kutoka Ethiopia kwa mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania.
Hayo yakifanyika Vigogo wa kisiasa na familia zao wana flex na magari ya kifahari kwenye mitandao ya kijamii pamoja na maeneo mbalimbali kwa fedha za kifisadi huku maeneo mengi ya Tanzania yakiwa hayana hata maji ya uhakika ya kunywa pamoja na miundombinu ya uhakika ya barabara na hospitali.
CCM ni laana kwa Taifa letu.
No Reforms No Election✊️✌️