Erickb52 kutua jijini Mwanza

Wewe una balaa ujue! Jamani utamkwaza Paw wangu! Ngoja mie nipalilie ndoa, endelea kum'kaba madameb
Hahahaaaa kwanza King'asti si nimesikia tren za Mwakyembe zinaishia Tabata na Ubungo?
Au na za Mwanza ni zake pia?
Ukuje then nauli sio ishu aisee siunajua natarajia kumjengea mzee Mtambuzi kagorofa ka kuuzia sura so hapa pesa ndogondogo sio ishu...come bby come
 
Last edited by a moderator:
Eti kaka, treni za mwakyembe ticket zake ni return? Nisije nikaenda kumuona b52 afu akawa hana nauli ya kurudia kwao!

hivi unaenda kwa ruhusa ya nani? Nshakwambia vyumba home vimajee kikiumana kwa Paw usije kabisa. Linda mali zako

sasa basi ukipata ruhusa kata tiketi ya return Mwakyembe ako serious na kazi bana
 
Jamani kaka! Yaani nianze tu kurudi, ujanja wote huu? Hapa ni kubanana hadi kukuche!
Huyo mwakyembe wala hayuko serious! Hiyo safari ilipashwa kuwa 3 hours mostly, sasa masaa sijui 80? Kha!

Hahahaaaaaa King'asti umrnichekesha kiukweli hapo kwenye red....!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom