dogo nani anakulipia nauli?
Huko mwanza huko! Mmmh.
Wana Jf wa Mwanza nikianza na Judgement na charminglady naomba kuwajulisha kuwa ntakuwa jiji humo nikila samaki kuanzia kesho so kwa atakayeweza kupata nafasi atanijulisha walau nimsalimie!
b52
Yeah, ndio jiji letu karibu sana! Ukibahatika kufika mabatini unitafute!Heheheeeee Mwanza Mwanza....
Hahahahahaaaa Mamndenyi nilikuwa ziwani naosha nyota.....dah yan baada tu ya kumaliza kuosha nkashangaa charminglady ananipigia eti alikuwa ananiwaza kila siku ila akashangaa imekuwaje kaangukia mikononi mwa C6 wakati sio size yake na level yake ndo akanambia anakuja....ameshafika ndio tunajiaandaa kutoka kidogo kabla ya kuja kuumalizia usiku wetu hapa Gold Crest HotelNenda tu huko hapa town umewachanganya mno. pengine ukirudi utakuwa umeosha nyota.