Erickb52 kutua jijini Mwanza

Erickb52 kutua jijini Mwanza

Eti kaka, treni za mwakyembe ticket zake ni return? Nisije nikaenda kumuona b52 afu akawa hana nauli ya kurudia kwao!
Hahahaaaa kwanza King'asti si nimesikia tren za Mwakyembe zinaishia Tabata na Ubungo?
Au na za Mwanza ni zake pia?
Ukuje then nauli sio ishu aisee siunajua natarajia kumjengea mzee Mtambuzi kagorofa ka kuuzia sura so hapa pesa ndogondogo sio ishu...come bby come
 
Last edited by a moderator:
Njoo Ruttashobolwa wangu,
Achana nao hao,
Wanakuonea wivu.
Come baby...
Najua wanasema mengi sana ili niachane na wewe,lakini Mimi ni ruba na wewe ni ngozi.
Kunitoa mpaka atoke mtu Ngozi.
Hayo ni maneno tu hata kwenye kanga siku hizi yamejaa tele
Hatudanganyiki meeeen!
We njoo tuongee biashara ya Penguin
 
Halafu St. Paka Mweusi kauli yako sijailewa hadi sasa hebu refer age za nyuma then uje na maelezo ya kutosha kabla wakili wangu ruttashobolwa hajakupeleka mahakamani


Huyo huwa tunakutana naye maeneo na hapa nishamfungulia mashtaka ya kunitishia kifo na kesi inasubiri kupangiwa Tarehe na Jaji tu,na nilishamwambia mwaka huu nnaye tu mpaka kieleweke kwa Madame B
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Yaani nisitembee na l'aziz wangu afu mafataki wanitolee macho? Akhuuu!
Hivi Paw ni l'azizi au ni afande wa JF?
Heheheheee we ngoja akufanye kama ulimboka ndio utashika adabu King'asti maana naona umezidi kuruka vihunzi
mwee mwe mwe mwe mwee
 
Last edited by a moderator:
Huyo huwa tunakutana naye maeneo na hapa nishamfungulia mashtaka ya kunitishia kifo na kesi inasubiri kupangiwa Tarehe na Jaji tu,na nilishamwambia mwaka huu nnaye tu mpaka kieleweke kwa Madame B
Madame B achana na hao wanaogombana badala ya kukupa raha za dunia uje kwangu meeeen!
Hapa kila kitu utapata
 
Last edited by a moderator:
njoo ruttashobolwa wangu,
achana nao hao,
wanakuonea wivu.
Come baby...
Najua wanasema mengi sana ili niachane na wewe,lakini mimi ni ruba na wewe ni ngozi.
Kunitoa mpaka atoke mtu ngozi.

acha kumzuga basi! Kha
 
Huyo huwa tunakutana naye maeneo na hapa nishamfungulia mashtaka ya kunitishia kifo na kesi inasubiri kupangiwa Tarehe na Jaji tu,na nilishamwambia mwaka huu nnaye tu mpaka kieleweke kwa Madame B

Jamani Rutta wangu ananitosha!!
 
Last edited by a moderator:
Hayo ni maneno tu hata kwenye kanga siku hizi yamejaa tele
Hatudanganyiki meeeen!
We njoo tuongee biashara ya Penguin

UMEONA EEH! MY YFU Madame B AMEKUNYWA NINI LEO? MBONA KAMA.. YAANI ANAPROVOKE MBAYA KABISA.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom