Sababu za kutokuendelea kwa Jiji la Mwanza

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,605
8,734
Habarini wote Wana JF,

Leo nimemaliza utafiti wangu kwa nini mwanza kushindwa kuendelea na Moja ya Jiji kwenye majiji Tanzania.

Jiji la mwanza Lina idadi kubwa ya mchanganyiko wa makabila mbalimbali waliopo hapo kutoka mikoa mbalimbali.

Sababu zinazofanya kutokuendelea hizi hapa:

1. Ndoto ya wakazi mwanza Kila mtu anawaza dar es salaam. Asilimia kubwa ya wakazi wamwanza kuanzia mwenyeji, mgeni Toka mikoa inayozunguka, wafanyabiashara, wanafunzi, watumishi na n.k wote Wanawaza kutimiza ndoto zao dar.

Ni kwa nini ?
Ufinyu wa fursa na mzunguko kufanikiwa jijini mwanza unataka moyo ukilinganisha na dar es salaam ndio maana mwanza Ina walionacho na wasio nacho ukilinganisha na dar unaweza kuja unakitu na ukatoboa.

Wafanyabiashara wengi waliopo mwanza wanapofanikiwa kimaendeleo asilimia kubwa nguvu zao uzipeleka jijini dar es salaam sababu ya mzunguko wa biashara.

2. Vyuo Bora kukosena mwanza.
Ili nalo ni tatizo katika Jiji la mwanza kukosa vyuo vyenye ushawishi. Wahitimu wengi wa vyuo vilivyopo mwanza wakimaliza mazingira Yana washawishi kurudi dar wakiona Kuna kupata zaidi.

3. Jeographia ya mwanza
Katika sehemu ambazo mwanza inapata shida ni changamoto miundo mbinu kimaeneo Yani roli linakatiza mjini sababu mjini ndio njia ya kuelekea sehemu nyengine.

Maeneo ya biashara ni mafinyu ukilinganisha na dar na Ili uwafanya watu kuhisi dar ni rahisi kupata nafasi ya biashara mfano kariakoo.

4. Ushamba
Japo ni Jiji ila limejaa ushamba ndio maana ni ngumu kubuni au kuanzishwa biashara mpya mfano KFC wakati msukuma anataka samaki chukuchuku.

Pili upande wa ufugaji wa kisasa kama samaki,kuku na n.k umetengenezwa zana mbaya kwa wakazi wenyeji kuona sio chakula.

5. Uelewa
Japo ni Jiji ila Lina uelewa mdogo sana ukilinganisha na dar Ili upelekea mtu au watu uelewa wao ukiwa mkubwa anaona Bora kwenda dar.

Mwisho:
Mwanza ni sehemu nzuri kimaisha kama unapata pesa.
 
Ingawa sijui ni kwa faida ya nani,, lakini uliyoyaandika yote ni uongo mtupu,,
Hiyo Mwanza unayoizungumzia hapa labda ni ya 80's huko sio sasa,, nakushangaa sana
 
Attachments

  • IMG_20221230_075218.jpg
    IMG_20221230_075218.jpg
    139.5 KB · Views: 6
Habarini wote Wana JF,

Leo nimemaliza utafiti wangu kwa nini mwanza kushindwa kuendelea na Moja ya Jiji kwenye majiji Tanzania.

Jiji la mwanza Lina idadi kubwa ya mchanganyiko wa makabila mbalimbali waliopo hapo kutoka mikoa mbalimbali.

Sababu zinazofanya kutokuendelea hizi hapa:

1. Ndoto ya wakazi mwanza Kila mtu anawaza dar es salaam. Asilimia kubwa ya wakazi wamwanza kuanzia mwenyeji, mgeni Toka mikoa inayozunguka, wafanyabiashara, wanafunzi, watumishi na n.k wote Wanawaza kutimiza ndoto zao dar.

Ni kwa nini ?
Ufinyu wa fursa na mzunguko kufanikiwa jijini mwanza unataka moyo ukilinganisha na dar es salaam ndio maana mwanza Ina walionacho na wasio nacho ukilinganisha na dar unaweza kuja unakitu na ukatoboa.

Wafanyabiashara wengi waliopo mwanza wanapofanikiwa kimaendeleo asilimia kubwa nguvu zao uzipeleka jijini dar es salaam sababu ya mzunguko wa biashara.

2. Vyuo Bora kukosena mwanza.
Ili nalo ni tatizo katika Jiji la mwanza kukosa vyuo vyenye ushawishi. Wahitimu wengi wa vyuo vilivyopo mwanza wakimaliza mazingira Yana washawishi kurudi dar wakiona Kuna kupata zaidi.

3. Jeographia ya mwanza
Katika sehemu ambazo mwanza inapata shida ni changamoto miundo mbinu kimaeneo Yani roli linakatiza mjini sababu mjini ndio njia ya kuelekea sehemu nyengine.

Maeneo ya biashara ni mafinyu ukilinganisha na dar na Ili uwafanya watu kuhisi dar ni rahisi kupata nafasi ya biashara mfano kariakoo.

4. Ushamba
Japo ni Jiji ila limejaa ushamba ndio maana ni ngumu kubuni au kuanzishwa biashara mpya mfano KFC wakati msukuma anataka samaki chukuchuku.

Pili upande wa ufugaji wa kisasa kama samaki,kuku na n.k umetengenezwa zana mbaya kwa wakazi wenyeji kuona sio chakula.

5. Uelewa
Japo ni Jiji ila Lina uelewa mdogo sana ukilinganisha na dar Ili upelekea mtu au watu uelewa wao ukiwa mkubwa anaona Bora kwenda dar.

Mwisho:
Mwanza ni sehemu nzuri kimaisha kama unapata pesa.
Utafiti wako umeishia hapo si ety
 
Kwani pale lilipo ni wapi?
 
Mwanza ipi unaizungumzia,kusema moyoni mwanza na Dar es salaam tofauti ni ndogo sana kuanzia uchumi, population mpaka miundombinu japo mimi sio mzaliwa wa huku ila nimeinyoshea mikono.
 
Kwenye ushamba hapo umezingua ila chakula wanapenda cha asili hata kwenye sherehe wanakula kuku wa kienyeji,ukifuga broilers kanda ya ziwa utakula wewe na familia yako.
Naona umejijibu na kujiuliza.kwa nini watu wasiende dar kuwekeza haraka
 
Wafanyabiashara wengi waliopo mwanza wanapofanikiwa kimaendeleo asilimia kubwa nguvu zao uzipeleka jijini dar es salaam sababu ya mzunguko wa biashara.
Nilisikia kuna mwamba alieleza humu kua Mwanza km umetoboa alafu sio mzawa basi nenda mapema uwahi duka la Silaha maana wanamwanza wakikugundua wewe sio mwenzao alafu ni Tajiri lazima wakupoteze
 
Habarini wote Wana JF,

Leo nimemaliza utafiti wangu kwa nini mwanza kushindwa kuendelea na Moja ya Jiji kwenye majiji Tanzania.

Jiji la mwanza Lina idadi kubwa ya mchanganyiko wa makabila mbalimbali waliopo hapo kutoka mikoa mbalimbali.

Sababu zinazofanya kutokuendelea hizi hapa:

1. Ndoto ya wakazi mwanza Kila mtu anawaza dar es salaam. Asilimia kubwa ya wakazi wamwanza kuanzia mwenyeji, mgeni Toka mikoa inayozunguka, wafanyabiashara, wanafunzi, watumishi na n.k wote Wanawaza kutimiza ndoto zao dar.

Ni kwa nini ?
Ufinyu wa fursa na mzunguko kufanikiwa jijini mwanza unataka moyo ukilinganisha na dar es salaam ndio maana mwanza Ina walionacho na wasio nacho ukilinganisha na dar unaweza kuja unakitu na ukatoboa.

Wafanyabiashara wengi waliopo mwanza wanapofanikiwa kimaendeleo asilimia kubwa nguvu zao uzipeleka jijini dar es salaam sababu ya mzunguko wa biashara.

2. Vyuo Bora kukosena mwanza.
Ili nalo ni tatizo katika Jiji la mwanza kukosa vyuo vyenye ushawishi. Wahitimu wengi wa vyuo vilivyopo mwanza wakimaliza mazingira Yana washawishi kurudi dar wakiona Kuna kupata zaidi.

3. Jeographia ya mwanza
Katika sehemu ambazo mwanza inapata shida ni changamoto miundo mbinu kimaeneo Yani roli linakatiza mjini sababu mjini ndio njia ya kuelekea sehemu nyengine.

Maeneo ya biashara ni mafinyu ukilinganisha na dar na Ili uwafanya watu kuhisi dar ni rahisi kupata nafasi ya biashara mfano kariakoo.

4. Ushamba
Japo ni Jiji ila limejaa ushamba ndio maana ni ngumu kubuni au kuanzishwa biashara mpya mfano KFC wakati msukuma anataka samaki chukuchuku.

Pili upande wa ufugaji wa kisasa kama samaki,kuku na n.k umetengenezwa zana mbaya kwa wakazi wenyeji kuona sio chakula.

5. Uelewa
Japo ni Jiji ila Lina uelewa mdogo sana ukilinganisha na dar Ili upelekea mtu au watu uelewa wao ukiwa mkubwa anaona Bora kwenda dar.

Mwisho:
Mwanza ni sehemu nzuri kimaisha kama unapata pesa.
Fananya na uchunguzi pia Nini kifanyike ili mwanza iendelee!!
 
Back
Top Bottom