Erickb52 kutua jijini Mwanza

Erickb52 kutua jijini Mwanza

Jamani kaka! Yaani nianze tu kurudi, ujanja wote huu? Hapa ni kubanana hadi kukuche!
Huyo mwakyembe wala hayuko serious! Hiyo safari ilipashwa kuwa 3 hours mostly, sasa masaa sijui 80? Kha!

orait....ngoja tuone.....three hrs kutoka wapi kwenda wapi sis...kama dar mwanza, hata kwa treni ya umeme....ni ngumu....au ukimaanisha ungo? hahaha
Erickb52 umefika?
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 nakuombea ufike salama. Uende hadi Magu, maeneo ya Lamadi, upatafute Mkula. Pale kuna ndege wazuri sana wanaotoka Misri na France. I hope Uta enjoy
 
Catherine unajichanganya sana! Kwani watoto ni wa Erickb52 au ni wa Mr. Rocky ?
Filipo kama ni watoto walioko meatu wale ni wa Mr Rocky na wamefanana hata huulizi ntakutumia picha zao nikifika. Mwambie Catherine ameungana na mumewe Mentor kwenye mapishi ya majungu na fitina...nimeshamsoma...
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 nakuombea ufike salama. Uende hadi Magu, maeneo ya Lamadi, upatafute Mkula. Pale kuna ndege wazuri sana wanaotoka Misri na France. I hope Uta enjoy

Nikifika lamadi itabidi nifike hadi Bunda
 
nimeuliza tu...na nina ma agent kwen aina zote za usafiri apo...ole wako udanganye
Hahahaaaaa usije sema una maagent hadi mahotelini ili kunifuma na Amyner lol
Nimekujulisha tayari hebu zungukia kwenye njia mbadala
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom