Hapo duara alikua akisoma akili za Mwijage kisogoniUshahidi wa picha unaonesha Diarra akienda...
Jinga kweli wewe tupe ushahidi wa sautiUshahidi wa picha unaonesha Diarra akienda na kuinama kisha Mwijage naye akainama pale wakanong'onezana.
Diarra alipangua penati ile nyepesi.
View attachment 2416539
Lazima muumie! Na mtaumia sana! Ha ha haaa!An biten ya mchongo.
Unastahili kupewa pole kwa maumivu unayopitia.Ushahidi wa picha unaonesha Diarra akienda na kuinama kisha Mwijage naye akainama pale wakanong'onezana.
Diarra alipangua penati ile nyepesi.
View attachment 2416539
Naona ume edit lugha ya kukera uliyoitumia mwanzoni, hongera, huo ndio uungwana.Unastahili kupewa pole kwa maumivu unayopitia.
Una akili timamu za kujibishana kwa hoja na mimi? Nijibu ndio kisha tujadiliane kwa hoja na uwe unajibu nitapikuwa nakuuliza swaliHaya maelezo yako hapa ni aibu tupu. Pale hakwenda kujadili bali aliinama ili aambiwe upande. Majadiliano yalishafanyika kabla ya mchezo.
Wewe huoni kwamba kilichotokea pale ni kitu cha ajabu sana? Yaani mpira awe nao mchezaji wa kagera lakini Diarra ainame palepale.
Wala haikuwa lugha ya kukera. Ilikuwa ni lugha sahihi kabisa. Siku zote wazazi hujivunia kuwa na watoto werevu, na siyo watoto wenye akili za kipopoma kama hizi za kwako!Naona ume edit lugha ya kukera uliyoitumia mwanzoni, hongera, huo ndio uungwana.
Wewe huoni kwamba kilichotokea pale ni kitu cha ajabu sana? Yaani mpira awe nao mchezaji wa kagera lakini Diarra ainame palepale.
Hoja zako ni za kitoto sana. Na pia unaoneka hujawahi kucheza mpira, zaidi tu ya huo ushabiki wako maandazi uliokuwa nao.Wewe huoni kwamba kilichotokea pale ni kitu cha ajabu sana? Yaani mpira awe nao mchezaji wa kagera lakini Diarra ainame palepale.
Nimeshakujibu, kipi hujaelewa?Una akili timamu za kujibishana kwa hoja na mimi? Nijibu ndio kisha tujadiliane kwa hoja na uwe unajibu nitapikuwa nakuuliza swali
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app