Erick Mwijage alimwambia Djigui Diarra upande atakaopiga penati katika mchezo wa Yanga na Kagera sugar jana

Wewe huoni kwamba kilichotokea pale ni kitu cha ajabu sana? Yaani mpira awe nao mchezaji wa Kagera lakini Diarra ainame palepale.
Nadhani wewe sio mfatiliaji wa mpira wa miguu alichokifanya diarra ni kitu cha kawaida sana inapotokea penati zile ni mbinu za makipa kumtoa mpigaji mchezoni kwa wale wazamani kidogo watakumbuka hata mwameja alikua anatumia sana hii mbinu na katika miaka ya hapa karibuni kaseja nae alikua anaitumia watanzania tunaharibu mpira wetu wenyewe either kwa kutoujua na kufuata mkumbu tu au kuweka huu usimba na yanga...
 
Makipa wote uliowataja walikuwa wanagusa mpira na kuondoka au walikuwa wanauweka mpira pale sehemu unapotakiwa na kuondoka.

Diarra aliinama pale wakati tayari mpira ameshauchukua Erick na wakapeana maneno ya kijanja. Yanga mnaharibu mpira.
 
Endeleeni na vituko Namungo wanawasuubiri mtakuja anza kulia lia tena
 
Makipa wote uliowataja walikuwa wanagusa mpira na kuondoka au walikuwa wanauweka mpira pale sehemu unapotakiwa na kuondoka.

Diarra aliinama pale wakati tayari mpira ameshauchukua Erick na wakapeana maneno ya kijanja. Yanga mnaharibu mpira.
kwa kuwa wakati huo kulikua hakuna picha za video ningekupa ushahidi wa mechi ya simba na kagera wakati nazani walikua wanaitwa rtc kagera
kagera walipata penati ambayo ilikua inapigwa na mkama ntare ilikua mkana akiweka mpira ili apige mwameja anakuja kuugusa mkana nae anaweka tena vzuri mpaka muamuzi akamrudisha mwameja golini ndio mkama akaweka tena mpira vizuri akapiga so tusiwe watu wakusema vitu tunavyo fikiria kwenye mawazo yetu na kutaka viwe ndio uhalisia
afu umeitaja yanga kuwa tunaharubu mpira hakuna sehemu yeyote ambako nimesema mimi ni mshabiki wa yanga
mimi nimeongelea afya ya mpira wetu kwa ujumla unaharibiwa na hizi dhana potofu yani mtu unaamka unaandika tu kitu ambacho huna hata ushahidi bila kujua impact yake kwa mhusika mwijage yeye ndio kazi yake kuna watu wengine kwa kusoma tu andiko lako au kwa kusimuliiwa na mtu aliyesoma watajenga chuki juu yake kwa tuhuma ambazo sio za kweli
 
Kwenye maelezo yako hakuna mahali umesema kwamba waliinama pamoja kipa na mpiga penati na wakaongea hivyo hapa unabisha tu. Nenda kaangalie ile video ya Mwijage na Diarra ndio urudi hapa.
 
kaka nimeanaglia zaidi ya mara tano mpaka sasa na hakuna sehemu inayo onyesha kama wanaongea sijui kama wewe una angalia kwa angle tofauti na picha za marudio nazo angalia mimi
wakati diarra anakwenda kwenye mpira mwijage akauwahi ili diarra asiuguse nakuushika mkononi kisha akagekua kwa muamuzi kwa walio cheza mpira wanajua ile ni ishara ya kumwambia muamuzi naomba nilinde mana mwenye maamlaka wakua na mpira wakati wa upigaji wa penati ni yule anayepiga na muamuzi kweli alikuja na kumuamuru diarra arudi golini hakuna sehemu yeyote ambayo imeonyesha wameongea narudia tena tusiwe wazushi kwa sababu ya manufaa yetu binafsi tunaharibu maisha ya watu wengine bila sababu

na ukitaka kujua kua ivi vitu vipo kote duniani unapo chezwa mpira angalia iyo link hapo juu ilikua mechi kati ya inter na ac milan kwenye iyo scenario sipati picha ingetoa hapa tanzania afu mpigaji akose
 
Unaitetea video ya akina mwijage na diarra lakini unaweka mfano mwingine. Kwanini unaogopa kuileta ile mahali hapa?
 
Unajichosha mkuu, unatumia nguvu nyingi sana mumuelewesha mtu ambaye ana mapungufu ya kisoka. Huyo ni shabiki asiyefuatilia mpira. Kaokota kapicha huko mtandaoni ameshindwa hata kujipa muda kuangalia video kwanza.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Wewe unawashwa sana. Rudia kuangalia video uache kubwabwaja. Yanga waache janjajanja zinazoharibu mpira wetu.
 
Sijuagi kujibu mtu kwa kutukana, Nifatilie vizuri humu utanijua. Siku zote mtu anayeishia kuanza kutukana huwa hana hoja na ana mapungufu ya uwezo wa akili hivyo anaishia kupaniki kwa kutukana badala ya kutetea hoja. Pole tusi ulilonitukana sikurudishii mimi ni mwana michezo sio shabiki oya oya. Nilikwambia tokea post namba 7 kuwa onesha ni wapi mdomo wa Diarra au mchezaji wa Kagera ulikuwa ukiashiria kutamka maneno umeshindwa. Nikakupuuza nikaachana na wewe, nime m- quote eddylila unakuja ku reply wewe. Una onesha una maumivu makali mno na Yanga. Haya maumivu kwanini usiende tume ya kupambana na Rushwa ukapeleke hili tukio la upangaji wa matokeo kati ya Diarra na mchezaji wa Kagera badala ya kuangaika tu humu.

Tabia ya kununua mechi kwa janjajanja inaifanya yanga kuwa dhaifu kimataifa. Huo ndio ujumbe wenu. Hayo mengine ni porojo.
 
Kwenye maelezo yako hakuna mahali umesema kwamba waliinama pamoja kipa na mpiga penati na wakaongea hivyo hapa unabisha tu. Nenda kaangalie ile video ya Mwijage na Diarra ndio urudi hapa.
Ushahidi wa sauti kwa tukio Hilo unaweza kuweka hapa tukasikia?

anyway, kama inakuumiza chomoa
 
Sijuagi kujibu mtu kwa kutukana, Nifatilie vizuri humu utanijua. Siku zote mtu anayeishia kuanza kutukana huwa hana hoja na ana mapungufu ya uwezo wa akili hivyo anaishia kupaniki kwa kutukana badala ya kutetea hoja. Pole tusi ulilonitukana sikurudishii mimi ni mwana michezo sio shabiki oya oya. Nilikwambia tokea post namba 7 kuwa onesha ni wapi mdomo wa Diarra au mchezaji wa Kagera ulikuwa ukiashiria kutamka maneno umeshindwa. Nikakupuuza nikaachana na wewe, nime m- quote eddylila unakuja ku reply wewe. Una onesha una maumivu makali mno na Yanga. Haya maumivu kwanini usiende tume ya kupambana na Rushwa ukapeleke hili tukio la upangaji wa matokeo kati ya Diarra na mchezaji wa Kagera badala ya kuangaika tu humu.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Hawa ndio wanaopaswa kuhasiwa na kupigwa miti.. angeonekana wa maana sana kama angetoa majibu ya maswali ambayo watu wanamuuliza. Maana kwa hoja yake tu haijitoshelezi sababu si mara ya kwanza mambo kama hayo kufanywa na ma goalkeeper otherwise huwa haangalii MPIRA, sio tu bongo.
 
Back
Top Bottom