Eti anaipenda Tanzania hadi kampa jila Tanzania mtoto wake wa kike...jamaa ana pumba mbaya.
asituharibie jina la nchiEti anaipenda Tanzania hadi kampa jila Tanzania mtoto wake wa kike...jamaa ana pumba mbaya.
Watu kama yeye ndo wanafanya Wakenya na Waganda watudharau sana.
title za hadithi zake tu ni vichekesho
eti 'my dead body in my own coffin'
tusichekwe mchezo
Watu kama yeye ndo wanafanya Wakenya na Waganda watudharau sana.
title za hadithi zake tu ni vichekesho
eti 'my dead body in my own coffin'
tusichekwe mchezo
Hakyanani hakyanani nimecheka mpaka nimepaliwa 'my dead body in my own coffin'
Shigongo just copies James Hadley Chase and his own creations are flashy headlines 'Shigongo kama Obama'
Alikuwa akiongea EATV
Ukweli upeo wake ni finyu sana maana kauli alizotoa ni tata, mtu mzima hawezi kuongea hivyo. Anasema Wakenya na Waganda wanatudharau sana Watanzania.
Hoja aliyokuwa anaongelea na kuwahusisha waTZ wote ni mtafaruku wake binafsi na Jose Chameleone.
Anajenga chuki baina ya mataifa mawili kwa masuala yake binafsi.
Nimejua ni kwa nini yeye ni mkurugenzi wa udaku na up upu Tz.
Afrika Mashariki tunapendana, yeye atabaki na chuki zake binafsi !
Shigongo ametajirika kupitia blackmailing business, tunajua sana wala hana cha kujisifu.