Eric Shigongo auita mtandao wa JamiiForums wa "KIJINGA KIJINGA"...

Status
Not open for further replies.
JF sasa inaonekana mchango wetu sasa unaonekana. Tuchukue nafasi hii kujenga hoja zenye manufaa. Kelele za akina Shigongo na Juma Nkamia zisiwape shida. Calm down, fanya utafiti, weka hoja, saidia kuonya, na toa elimu.
 
Katika malalamiko yake amerudiarudia sana kauli ya kiingereza ni kabila tu na watanzania ni mwisho wa kuonewa na waganda na wakenya, lakini katika zote ni kuilaumu JF kati ya mitandao yote ya kijamii na binafsi nimepata funzo moja tu kuwa JF kwa sasa inabamba vibaya na hata viongozi wanaiogopa so sikushangaa Shigongo kuilalamikia JF.

Lakini kitu kimoja ni dhahiri Shigongo aache kutumia uswahiba wake na viongozi wa kisiasa kuonea watu wengine na kisha kutafuta huruma kwa watanzania wengine...
 
Kashikwa kalio.
Si huwa anajinadi ana mkono mrefu, angepangua na hiyo.
 
juzijuzi mteja kaibiwa hotelini kwake hakuna hata kijarida chake kilichoandika wakati wizi huo hata yeye mmiliki alihus
 
Pole sana kaka eriki wasanii wengi ni mafisadi hata wa hapa bongo hizo ndo zao wanaokuponda hawajui mambo ya wasanii wasamee bure . Komaa urudishiwe chako
 
Upeo wake ni finyu sana maana kauli alizotoa ni tata, mtu mzima hawezi kuongea hivyo. Anasema Wakenya na Waganda wanatudharau sana Watanzania.

Hoja aliyokuwa anaongelea na kuwahusisha waTZ wote ni mtafaruku wake binafsi na Jose Chameleone.
Anajenga chuki baina ya mataifa mawili kwa masuala yake binafsi.
Nimejua ni kwa nini yeye ni mkurugenzi wa udaku na up upu Tz.

Afrika Mashariki tunapendana, yeye atabaki na chuki zake binafsi !

Shigongo ametajirika kupitia blackmailing business, tunajua sana wala hana cha kujisifu.
 
Pole sana kaka eriki wasanii wengi ni mafisadi hata wa hata wa hapa bongo hizo ndo zao wanaokuponda hawajui mambo ya wasanii wasamee bure . Komaa urudishiwe chako

hata wamiliki wengi wa mahotel hapa bongo ni "wapigaji", hawajali hali aliyokujanayo mteja. Mwambie akomae aje na mbinu mbadala maana hizi zinaelekea kuprove failure.
 
Jamaa anagazeti linaitwa ijumaa wikenda afu linatoka j4 huu c uchzi?
 
uwezo wake wa kufikiri upo shalow kama kingereza chake.....bora yangu mimi sikijui kabisa..:israel:
 
Alikuwa akiongea EATV

Ukweli upeo wake ni finyu sana maana kauli alizotoa ni tata, mtu mzima hawezi kuongea hivyo. Anasema Wakenya na Waganda wanatudharau sana Watanzania.

Hoja aliyokuwa anaongelea na kuwahusisha waTZ wote ni mtafaruku wake binafsi na Jose Chameleone.
Anajenga chuki baina ya mataifa mawili kwa masuala yake binafsi.
Nimejua ni kwa nini yeye ni mkurugenzi wa udaku na up upu Tz.

Afrika Mashariki tunapendana, yeye atabaki na chuki zake binafsi !

Shigongo ametajirika kupitia blackmailing business, tunajua sana wala hana cha kujisifu.

Wakenya na waganda wanatudharau ndo maana anashikilia pasi ya watu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom