Eric Shigongo auita mtandao wa JamiiForums wa "KIJINGA KIJINGA"...

Status
Not open for further replies.
Upeo wake ni finyu sana maana kauli alizotoa ni tata, mtu mzima hawezi kuongea hivyo. Anasema Wakenya na Waganda wanatudharau sana Watanzania.

Hoja aliyokuwa anaongelea na kuwahusisha waTZ wote ni mtafaruku wake binafsi na Jose Chameleone.
Anajenga chuki baina ya mataifa mawili kwa masuala yake binafsi.
Nimejua ni kwa nini yeye ni mkurugenzi wa udaku na up upu Tz.

Yeye ndo katuabisha eti tupo kimya? alitaka tufanye nini...anafanya uzembe wake atatuhusisha na sisi then anasema hatupendani,kilaza mkubwa yule...:nono:
 
Si hata hapa jf tunalo jukwaa la Udaku, inawezekana lilikuwa jukwaa lake pendwa.
 
Magazeti yake ni full udaku. Mara Lulu kafanya vole, wema sepetu kavaa kiatu kile, huyu katembea na yule. Jf tunakata ishue za maana.
 
Kinachofurahisha kuhusu mitandao ya internet ni kwamba mtu hawezi kuujua mtandao ambao hautembelei. Kwa hiyo Shogongo ni member wa JF lakini anauita mtandao wa kijinga. At the same time magazeti yake hayaishi kuchukua mijadala ya JF kuweka kwenye front page.

Huyu Shigongo kamjulia wapi Le Mutuz kama siyo JF. Baada ya kumuona Le Mutuz JF, kaenda kumbandika kwenye ukurasa wa mbele wa mojawapo ya vijarida vyake ili apate pesa ya mchuzi. Sasa anasema JF ya kijinga!!!

- Yaani the guy is shallow kweli, huku JF ndimo walimo wanaomtuma kuchafua watu kwenye magazeti yake, sasa ana maana na hawa wanaomtuma ni wajinga wajinga I hope wamemsikia, mwanaume anayeishi kwa kuiba picha za watu wengine na kuwachafua hasa wadada wadogo na kupata mlo wa kila siku akishirikiana na baadhi ya Viongozi uchwara ndani ya CCM, leo ana akili ya kuita wengine wajinga?

- Labda sielewi maana ya neno mjinga, somebody help me please!!, Shigongo subiri 2016 wallahi utakimbilia Kenya! ha! ha! ha! watu wanakuangalia tu, lakini time is running out brother, huwezi kuishi kwa kuiba picha wa wananchi wasio na makosa na kujaribu kuwachafua ungekuwa mwanaume asiye mjinga ungewatafuta mafisadi na kuwaweka kwenye vigazeti vyako, lakini kuonea wadada wadogo wenye umri kama watoto wako kila kukicha, halafu eti ana balls za kusema JF ni wajinga wajinga! ohhh REALLY?

- Shigongo asubiri 2016, kama hakukimbilia Kenya!!

es!!
 
Amesema vyema kuwa Waganda na Wakenya kwa kuwa kuna watu kama Shigongo hawana akili ndio maana akatapeliwa. Sisi hatuitaj kukujua wewe ni nani. Kwa kuwa tumesha kujua kuwa wewe ni KENGE. Umbea na majungu ndio yanamuweka mjini
 
Unapigwa picha uko ndani kwako faragha, halafu unafuatwa utoe fedha ili habari isitoke.
ona hii;

AFANDE LIVE - Global Publishers


Huu ndio mchezo wa shigongo.

uyu "mlokole" anadhalilisha sana watu,huu ni uonevu wa hali ya juu...imagine ndio anamuanika dada yako au maza kabisa,tena kwa picha zake alizopiga private chumbani wala sio kibiashara....kweli siku ya mwisho sisi walokole tutajibu maswali mengi sana.
 
Akihojiwa na watoto wa Five connetc EATV, kuhusu issue yake na Chameleon wa Uganda, amesema comment za JF hazimnyimi usingizi coz ni Mtandao wa kijingkijinga...


Unaweza kuihukumu JF na watumiaji wake baada ya kusoma kilichomkera Shigongo kwenye hoja hizi chini:
Ref:
https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/290414-erick-shigongo-atiwa-kizuizini.html
&
https://www.jamiiforums.com/celebri...wa-kuondoka-nchini-na-shigongo-kisa-deni.html
&
https://www.jamiiforums.com/celebri...gongo-na-dr-jose-chameleone-sasa-imeanza.html

Ashukuru Mungu nayeye kauza sura humu. Maana kujadiliwa na magreat thinkerz si mchezo ukizingatia magazeti yake ana level ya kudiskass madada poa na wasanii wa kibongo. Hawezi kumchambua Drake hata siku moja
 
Mwenye CV ya Shigongo anisaidie jamani...
Unajua kabla ya kubishana na watu wa namna yake ni vema kwanza tukajua upeo wake vinginevyo tunaweza kupoteza muda bure.
Ila nasikia alikimbia Mwanza baada ya kudhulumu na kuja Dar akabadili jina la kuijiita Erick wakati jina lake halisi ni Safari, aliyekuwa muuzaji maarufu wa sigara na majani ya chai ya kubumba.
 
Wakati nikipinga moja kwa moja kauli ya Shigongo kuwa JF ni mtandao wa kijinga natoa mwito kwa watumiaji wenzagu turudi upya tuangalie tunachoposti humu na tunachojadili pia ili kweli tusionekane wajinga wote humu! Sio siri utafiti wangu unaonyesha quality ya threads na michango inapungua as days go, watu wamefikia kushambulia mtu binafsi, kutukanana na kutoa hoja finyu sana zisizojadilika kinyume na kauli mbiu hii "home of great thinkers" Turudi tuboreshe huu mtandao unasaidia sana mimi binafsi nimejifunza mengi sana na kufaidika na michango ya wenzangu, tujitahidi tuendelee kuwa "great thinkers"
 
anawashwa washwa huyu.
magazeti yake yamejaa matangazo ya waganga,
sasa je hao waganga wanamsaidia nini?
Wafanye mambo basi matapeli warudishe pesa
hizo, au aende kwao alikokulia Gambosh
akafanye mambo na sio kukaa tu na kukimbilia kwenye TV kwenda kulialia kuhusu thread
zinazompasha ukweli toka hapa JF...


Imeandikwa na kuhaririwa na
Gang Chomba
toka ktk viunga vya Bogota Colombiana.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom