Eric Shigongo auita mtandao wa JamiiForums wa "KIJINGA KIJINGA"...

Status
Not open for further replies.
Huyu jamaa kuna kitabu chake kimoja title...'my body in my own coffin'....lol

dah sasa hapo waganda na wakenya kwa nini waditudharau?
hatuna hata mwalimu wa English course wa kumsaidia?????
anaongea nini sasa?
 
Eti anaipenda Tanzania hadi kampa jila Tanzania mtoto wake wa kike...jamaa ana pumba mbaya.

Atashangaa Tanzania inafutika kwenye ramani ya dunia, zenj wanachukua sehem yao na tanganyika wanachukua ya kwao sasa Tanzania wake atabaki wapi? shenzi type.
 
hivi Shigongo kweli anaweza linganisha magazeti yake na Jf ,kweli Tanzania tumelogwa haswa
 
Alikuwa akiongea EATV

Ukweli upeo wake ni finyu sana maana kauli alizotoa ni tata, mtu mzima hawezi kuongea hivyo. Anasema Wakenya na Waganda wanatudharau sana Watanzania.

Hoja aliyokuwa anaongelea na kuwahusisha waTZ wote ni mtafaruku wake binafsi na Jose Chameleone.
Anajenga chuki baina ya mataifa mawili kwa masuala yake binafsi.
Nimejua ni kwa nini yeye ni mkurugenzi wa udaku na up upu Tz.

Afrika Mashariki tunapendana, yeye atabaki na chuki zake binafsi !

Shigongo ametajirika kupitia blackmailing business, tunajua sana wala hana cha kujisifu.
 
Watu kama yeye ndo wanafanya Wakenya na Waganda watudharau sana.

title za hadithi zake tu ni vichekesho

eti 'my dead body in my own coffin'

tusichekwe mchezo
 
Mi chimchangai Chingongo, hata waechimiwa wa chichiemu wanaumwa na JF kiasi ya kupendekezwa ifungwe.
 
Watu kama yeye ndo wanafanya Wakenya na Waganda watudharau sana.

title za hadithi zake tu ni vichekesho

eti 'my dead body in my own coffin'

tusichekwe mchezo

Hata kitendo cha kuchukua passport ya mtu kwa nguvu ni ujinga na kutojua sheria.
Ametapeliwa kwa ujinga wake, kama ni kudharaulika yeye ndiye anayedharaulika na sio waTZ !
 
Watu kama yeye ndo wanafanya Wakenya na Waganda watudharau sana.

title za hadithi zake tu ni vichekesho

eti 'my dead body in my own coffin'

tusichekwe mchezo

Hakyanani hakyanani nimecheka mpaka nimepaliwa 'my dead body in my own coffin'

Shigongo just copies James Hadley Chase and his own creations are flashy headlines 'Shigongo kama Obama'
 
Hakyanani hakyanani nimecheka mpaka nimepaliwa 'my dead body in my own coffin'

Shigongo just copies James Hadley Chase and his own creations are flashy headlines 'Shigongo kama Obama'

pole Engineer but ni true na hajui kuwa ni kichekesho lol
 
Alikuwa akiongea EATV

Ukweli upeo wake ni finyu sana maana kauli alizotoa ni tata, mtu mzima hawezi kuongea hivyo. Anasema Wakenya na Waganda wanatudharau sana Watanzania.

Hoja aliyokuwa anaongelea na kuwahusisha waTZ wote ni mtafaruku wake binafsi na Jose Chameleone.
Anajenga chuki baina ya mataifa mawili kwa masuala yake binafsi.
Nimejua ni kwa nini yeye ni mkurugenzi wa udaku na up upu Tz.

Afrika Mashariki tunapendana, yeye atabaki na chuki zake binafsi !

Shigongo ametajirika kupitia blackmailing business, tunajua sana wala hana cha kujisifu.

duh, hii ni kweli?
 
Kinachofurahisha kuhusu mitandao ya internet ni kwamba mtu hawezi kuujua mtandao ambao hautembelei. Kwa hiyo Shogongo ni member wa JF lakini anauita mtandao wa kijinga. At the same time magazeti yake hayaishi kuchukua mijadala ya JF kuweka kwenye front page.

Huyu Shigongo kamjulia wapi Le Mutuz kama siyo JF. Baada ya kumuona Le Mutuz JF, kaenda kumbandika kwenye ukurasa wa mbele wa mojawapo ya vijarida vyake ili apate pesa ya mchuzi. Sasa anasema JF ya kijinga!!!
 
JF , JF ..NAKUPENDA KWA MOYO WOTEEEEE! WEB YANGU JEIEFUUU JINA LAKO NI TAMU SANA! NILALAPO NAKUOTA WEWE! NIAMKAPO NI HERI MAMA WEEE! JEIEFU JEIEFU... NAKUPENDA KWA MOYO WOTE....

MY TAKE:
Shigongo ni kilaza kupitiliza, anajifanya mlokole halafu anamiliki night club! kweli dunia ina mambo, magazeti yake sasa yamekuwa kama porn magazines,,,kila uchao ni picha za akina uwoya and company wakiwa uchi...shigongo usidhani watz wote wana akili fupi...tunajua siri ya utajiri wako kuwa umetumia upumbavu wa watz wachache wanaodaganyika na vijarida vyako vya udaku!!! jiheshimu kaka! Idumu JF!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom