Eric Shigongo auita mtandao wa JamiiForums wa "KIJINGA KIJINGA"...

Status
Not open for further replies.
Mpeni vipande vyake mpuuzi huyu. Ananichefua sana anapowachafulia binti zetu future yao. Hata kama ni kuwaonya, njia anayotumia si sahihi. Na Mungu atamlipia hapa hapa kwa mabinti zake kama anao. Pambaf.......... mkubwa.
 
Yeye ndie wakijingakijinga...inakuwaje ukimbie na passport wa mtu? Kama sio uhuni ni nini?
 
amesema uwa ana soma coment za watu,anashangaa..eti anawafahamu watu wengi waliokuwa JF sasa wamejitoa..kamta ja Zitto mmojawapo


kumbe role model wake ni zitto eeeh mzee wa mlungula hahahahahah ndomana kamzulumu josee hahahah:baby::baby:
 
What? Shi-gongo? endelea kuchuma utajiri wa kidhalimu kwa kuchafua watu majina usiguse chemchem ya mabadiliko JF! sauti yetu ni zaidi ya radi! thread moja tu inatikisa mpaka namtumbo! unadhani mchezo! ala!
 
jamaa shule hamna kichwani what would u expect from him? shule nzuri jamani hata ukiwa maskini lakini utakuwa unaweza kureason.
 
acheni ****** tuduscus inshu za mkwanjwa

Abuse reported, anyway pole kama wewe ndio msemaji wake, mbona una-panic?? nyie ndio wajinga wajinga mnao aibisha TZ.. unataka discussion za mkwanja unasubiri nani alete topic??? poor you
 
attachment.php


Kwaiyo baada ya Mlalamikaji(shi-gongo) kuona VOGUE akatoa kila kitu!!!!
 

Attachments

  • white range rover-5.jpg
    white range rover-5.jpg
    16.4 KB · Views: 206
Naskia kuna mashoga wawili walipigana after press conference flani hivi mwaka jana wakimgombania kila mmooja alikuwa anadai "wangu mie, wangu mie!!". Shigongo mwenyewe kuona hivyo akaingia mitini
 
bora we unaeulza mi naona watu mnacomment bila kujua vzur ugomvi wao na yapi mkwel kat ya shigongo na chameleon
 
Huyu jamaa natoka naye mtaa mmoja huko mwanza. But huwa simwelewi. Eg watu hawana ajira yeye anawaletea jezi wacheze mpira.watu wana njaa yeye anawapa pombe.
Kimsingi huyu MTU ni mnafiki
 
JF is all people rolled into one, like the '99 Summer Jam.

Ukisema JF ni mtandao wa kininga jinga, umeutukana mtandao wa umma.

Hivyo wewe ndiye utakuwa mjinga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom