Kilinzibar
Senior Member
- Mar 6, 2008
- 124
- 1
nafikiri wananchi wenyewe kumekuwa na utamaduni wa kutojali kitu unacho nunua si Game pekee sasaivi hadi kkoo kuna bidhaa feki hadi maduka yenyewe feki...sio kama zamani mtu ukiona feki wala hurudi hapo tena ila sikizi mtu akinunua Game basi kila mtu ata taka aende hapo still humu watu tunasema kuna bidhaa feki ila watu tukisha ona kile kigazeti chao cha uongo cha punguzo za bei watu mbio kwenda kununua!!!! by the way leo sijakiona kigazeti!!!!