Miaka mitano iliyopita mke wangu alinunua fridge kwa shillingi laki tisa huko kwenye maduka ambayo hayatoi guarantee na iliharibika ndani ya miezi sita. Tukanunua frdige nyingine pale Game, double door, na bado inafanya kazi mpaka leo hii na haijatuletea matatizo yoyote.
Binafsi sipendi kununua kitu cha gharama ambacho hakina guarantee. Kwa hiyo huwa siingii huko mitaani kama Kariakoo kununua vifaa vya electronic, umeme, au mashine nyingine kama vitu hivyo naweza kuvipata kwenye maduka yanayotoa guarantee.
Kuhusu vyakula mara nyingi napenda vilivyo fresh na sipendi kabisa vyakula vya kwenye makopo.