Epukeni bidhaa za Game Mlimani City!

Epukeni bidhaa za Game Mlimani City!

Hiyo kitu ni kweli kabisa nakumbukua nilinunua zile sufuria wanadai hazigandiii chakula ukiwa unapika, zote zimeota kutu hazifai kabisa kwa matumizi mkihitaji hata picha zipo...

Na ni visufuria vinne tu 40,000/=

I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
 
Wanunuzi wa bidhaa pale GAME Mlimani Sity jihadharini na bidhaa hizo.Kuna tetesi kuwa bidhaa nyingi hapo dukani ni mbovu na zina matatizo.Mimi mwenyewe nienunua karibu bidhaa tatu ambazo ziliharibika kipindi kifupi tu baada ya matumizi.These items are used and repacked!!!

Naomba uni- PM hivyo vitu ulivyonunua ili niifantie kazi hiyo story
 
Nyerere alianzisha maduka ya ushirika na baadaye maduka ya RTC, walipokuja wenzake wakayaua na kukaribisha mabepari wanyonyaji kutoka South Afrika na Ulaya, eti ndiyo maendeleo. Matokeo yake Watanzania wanauziwa bidhaa feki kwa bei kubwa. Ushamba huu ndiyo sera za CCM?
 
umepotea mkuu upo kweli

asante kwa kutuelewesha
Taarifa hizi tulishawatumia TBS na TFDA wafuatilie kwa ukaribu kwani wafanyakazi wa Game wenyewe walituhabarisha juu ya hili. Kama wanataka facts tunaweza kuziweka hapa pindi zikihitajika!

Not only Game, hata Shoprite nao walewale.
 
Kununua kitu kama chakula toka supermkt kwa Tanzania ni element za ushamba flan hiviii (with assumption ukienda mall utakuwa na status flan).

Vitu fresh viko kariakoo ma masoko mengine why kununua processed food? Unakuta mtu kanunua cassarole ama lasagne au any canned food wkt vinatengenezeka tu nyumbani!!

Pia na wenye smkt waache huo uuaji, nchi nyingine fain yake wangefunga hizo shop!
 
Naomba uni- PM hivyo vitu ulivyonunua ili niifantie kazi hiyo story

Mkuu hebu cheki picha za vifaa nilivyonunua Game na vikawa vibovu kabisa , nilipost at 19.05 17th Sept 2012
 
Umetumwa we we..hembu taja umenunua bidhaa gani?Mimi kwa nchii hii nawaamini wale jamaa kwa kuwa na bidhaa halisi..binafsi nina friji,TV na jiko nilinunua Game salsa yakaribia muongo mmoja sijamwita fundi
 
Invisible,

Hivi kwanini kama kuna matatizo pasifungwe tu kwa muda maka hapo watakopokamilisha uchunguzi?mie huwa nashangaa sana nchi yangu inavyoendeshwa.

Mataka kakosea ,kwanini asifukuzwe kwanza!Shame
10%itatuua mkaka,unazani ni nn pale hamna cha zaidi ishu ni 10%
 
Kununua kitu kama chakula toka supermkt kwa Tanzania ni element za ushamba flan hiviii (with assumption ukienda mall utakuwa na status flan).
Vitu fresh viko kariakoo ma masoko mengine why kununua processed food? Unakuta mtu kanunua cassarole ama lasagne au any canned food wkt vinatengenezeka tu nyumbani!!

hapo umenena mkuu watanzania tuko washamba na wajinga mpaka hasira, jitu linaenda kununua chakula supermarket! wakati uswahilini zimejaa organic bila hio michemical thats why unakuta sasa hivi bongo kama marekani watu wana matumbo makubwa na yana shepu mbaya mpaka unaogopa, kumbe hawajui kua ni hayo ma processed food, hata hio mi burger mtu anatoka mbali kwenda kutafuta mi burger wakati kaacha mihogo, viazi vitamu vimejaa, yaani kazi tunayo
 
Kwani supermarket sio soko?
 
Kwani supermarket sio soko?

ni soko tena liko super sema hapa tunaongelea aina ya bidhaa ambazo unaumiza kichwa kuzifata, mfano fresh vegetable wao wamekuprocessia kwenye makopo, wakati kariakoo, mwananyamala unapata kitu bado fresh whaich is what ma doctor wanataka utumie instead watanzania tunataka kuonekana wa kisasa ilimradi tu tuonekane tumeshika makopo yenye chata ya supermarket camooo man thats not right tuwe real, ndio maana vijana wadogo sikuhizi mnatoa matumbo ya ajabu vitambi sio mimba sio mimba bali ni balaaa tu
 
Wanunuzi wa bidhaa pale GAME Mlimani Sity jihadharini na bidhaa hizo.Kuna tetesi kuwa bidhaa nyingi hapo dukani ni mbovu na zina matatizo.Mimi mwenyewe nienunua karibu bidhaa tatu ambazo ziliharibika kipindi kifupi tu baada ya matumizi.These items are used and repacked!!!

Ni kweli kabisa. Game vifaa vya Electronic vingi ni chini ya kiwango. Mimi nilinunua mashine ya kunyolea kwa ajili ya mwanangu haikunyoa hata unywele mmoja. Hovyo kabisa hili duka. Halafu kwa promo hawajambo....
 
Mkuu binafsi nilisha shituka muda mrefu, vifaa vingi ni pale ni "FACTORY SECONDS".
 
wanauza vitu feki,nilinunua deki ya dvd kumbe kafyoro pyuuu
 
Miye nilinunua simu Nokia X3 na baada ya miezi mitatu simu ikaharibika ikala kwangu mazima.
 
Duh kumbe ni kweli vitu vya Game ni fake mimi nilinunua mke pale Game kufika home akawa ni feki feki kabisa
 
Nyerere alianzisha maduka ya ushirika na baadaye maduka ya RTC, walipokuja wenzake wakayaua na kukaribisha mabepari wanyonyaji kutoka South Afrika na Ulaya, eti ndiyo maendeleo. Matokeo yake Watanzania wanauziwa bidhaa feki kwa bei kubwa. Ushamba huu ndiyo sera za CCM?

Hakuna aliyeua maduka ya Nyerere. Maduka yale yalikufa wakati wa utawala wake yeye mwenyewe. Hakuna kitu kilikuwa ch hovyo kama uanziahaji wa hayo maduka unayoyasifia.
 
Back
Top Bottom