Enzi zangu mie Karucee

Enzi zangu mie Karucee

Hapo uko vizuri Kiongozi. Mimi ni mshabiki mkubwa sana wa karate. Tupange mechi tukumbushie hunhaaa kidogo

Lols. I wouldn't risk it.

He will kick your ass.
 
Ahaaaaaaaa.. yeah ni majukumu mazito sana. lakini angalao uwe unaruka hata kamba kabla ya kuoga basi ukibanwa kabisa kwenda gym. Gym/mazoezi ni muhimu sana kwa yeyote anayetaka kuwa na AFYA bora awe ni mnene au mwembamba.

True true
 
Hahaaaaa.. umenikumbusha kuogelea... mara ya kwanza nimeenda kuogelea nkasema maji tu si unaingia tu na kupiga mbizi?
Nikajirusha bwana... weee kama sio kuwa mrefu ningeshaondoka siku nyiiingi.. nilikunywa maji ya kutosha nikapambana nikajigeuza nikasimama ndani ya pool ndio ikawa pona yangu. afu ilikuwa kwenye kina kirefu kidogo... sitamanigi kukumbuka
Tized tofauti na hiyo mimi utanikuta kuogelea, hapa najua nitawaacha wengi, kama miss neddy yeye na jiwe nadhani anawahi yeye kuzama kuliko jiwe
 
Turn you arround, hold you tight, bend a litle from th back, turn your face kidogo... and there I am (on the treasure I fore mentioned- lps)...... Am I dreaming?
Hahahaha. Halafu wewe? Extra motivation for what?
 
Hahaaaaa.. umenikumbusha kuogelea... mara ya kwanza nimeenda kuogelea nkasema maji tu si unaingia tu na kupiga mbizi?
Nikajirusha bwana... weee kama sio kuwa mrefu ningeshaondoka siku nyiiingi.. nilikunywa maji ya kutosha nikapambana nikajigeuza nikasimama ndani ya pool ndio ikawa pona yangu. afu ilikuwa kwenye kina kirefu kidogo... sitamanigi kukumbuka

Duh pole Tized wetu, inabidi ujifunze mkuu ni mchezo mzuri sana
 
Last edited by a moderator:
Kweli wapaswa kuzikumbuka enzi zako Karucee zilikuwa balaa.
Hivi Tized na Mndengereko na yule Excel bazazi wamepita hapa wakaona hii
na mimi pia mkuu nilikuwa balaaa katika huop mchezo enzi zangu nakumbuka walikuwa wananiita big na urefu huu rebound zote zangu,kwenye lay up sikosi tatzi langu lilikuwa kwenye 3 points nje ya D dah nahisi niliorogwa otherwise i was untouchable
cc : Karucee and Tized
 
Last edited by a moderator:
Turn you arround, hold you tight, bend a litle from th back, turn your face kidogo... and there I am (on the treasure I fore mentioned- lps)...... Am I dreaming?

Hahaha. Yes, wake up please. You are in dreamland.
 
na mimi pia mkuu nilikuwa balaaa katika huop mchezo enzi zangu nakumbuka walikuwa wananiita big na urefu huu rebound zote zangu,kwenye lay up sikosi tatzi langu lilikuwa kwenye 3 points nje ya D dah nahisi niliorogwa otherwise i was untouchable
cc : Karucee and Tized

I hated layups na coach alikuwa anajua sipendi ku dribble na left na layups. He used to make me do it on purpose.

lol
 
Hahaaaaa.. umenikumbusha kuogelea... mara ya kwanza nimeenda kuogelea nkasema maji tu si unaingia tu na kupiga mbizi?
Nikajirusha bwana... weee kama sio kuwa mrefu ningeshaondoka siku nyiiingi.. nilikunywa maji ya kutosha nikapambana nikajigeuza nikasimama ndani ya pool ndio ikawa pona yangu. afu ilikuwa kwenye kina kirefu kidogo... sitamanigi kukumbuka


mkuu pole sana unakosa raha moja adimu sana,wengine ndo starehe yetu hiyo ikipita mwezi bila ya kuogelea lazima tuumwe,sasa hivi ndo nimeanza kujifunza kuogelea style y butterfly nimechoka kuzionea style nyimgine

 
Last edited by a moderator:
Na wewe unaniyeyusha?

Come on.

Niambie meaning please.


mmezidi na nyie kukaaa ushuani matokeo yake hata ujiko maana yake hujui,haya hiyo homework yako katafute maana yake sio kila kitu utafuniwe lol!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom