utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,675
Last edited by a moderator:
hahahahaha bado nina maswali lukuki bhanasababu hayupo alone, nisije zua mtafaruku.
Ndo maana sijamwandika mtu.
lol. sasa ukae kimya manake wewe mtoto ni
mmbea sana.
Tized tofauti na hiyo mimi utanikuta kuogelea, hapa najua nitawaacha wengi, kama miss neddy yeye na jiwe nadhani anawahi yeye kuzama kuliko jiwe
miss neddy ni nanga!!!
hahahahaha bado nina maswali lukuki bhana
hahahaha nani kasema ujue nilikuwa member wa team ya kuokoa watu nungwi
Teh teh teh... miss neddy nilikuambia nikufundishe ukakaataa, unaona sasa?
sababu hayupo alone, nisije zua mtafaruku.
Ndo maana sijamwandika mtu.
lol. sasa ukae kimya manake wewe mtoto ni mmbea sana.
Buddy, 6 1/2? wow!! You really are tall.
Am 5''2.
Did you play as a center or forward?
Go ahead hun.
Uliza ujibiwe.
Chamber court itakuhusu!!!How, why?
Why quote me on this particular post?
lol
mwenyeweeeeee. lmfao!!
enheeee kwenye katiba ya kiwatengu mbona upo wewe na yule mbeba box nahitaji ufafanuzi hapo