Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Nipo Kiongozi.. Najua wewe, Mndengereko, utafiti na Ntunzu ni wanamichezo wazuri sana. Hivi tofauti na mchezo wa karata na ushabiki wa Mani Yuu, kuna mchezo mwingine mnacheza kweli?
Karucee nimeyahesabu haya maneno yangu, wakinigeuka hawa mabwana, Uwe standbye kuwafungulia hata kesi ya ugaidi ikibidi.
Minsconceived notion.
Damn. How nice rafiki.
I wish nlijua karate.
Ningenunua ugomvi daily!!
Dhana potofu.
Swali lingine?
Sometimes tukiendaga out sisi wa dada tunaonewa. Some ------ just pinch your ass from nowhere. Hao ndo ningeanza nao.Kununua ugomvi sio vzr Karucee
Hiyo inakusaidia tu wewe mwenyewe na pia ni kuishi vzr na kuhusuana vzr mtaani na watu! Lkn ni mchezo mzuri sn unakufanya unakua mwepesi sn na mkakamavu!
Sometimes tukiendaga out sisi wa dada tunaonewa. Some ------ just pinch your ass from nowhere. Hao ndo ningeanza nao.
Basi please usiwe unanitaja taja na yeye pamoja.
Sawa?
Buddy, 6 1/2? wow!! You really are tall.
Am 5''2.
Did you play as a center or forward?
Michezo mingine nimecheza ni Vollyball, handball na mambo ya self-defense! Yani Karate! Tena ktk Hii karate mpk Leo nanyoosha viungo!
No, am not playing anytime soon hun.
I will have to get back to exercise first before I can even think of playing. Ongeza motherhood na job.lol