Enzi zangu mie Karucee

Enzi zangu mie Karucee

mkuu pole sana unakosa raha moja adimu sana,wengine ndo starehe yetu hiyo ikipita mwezi bila ya kuogelea lazima tuumwe,sasa hivi ndo nimeanza kujifunza kuogelea style y butterfly nimechoka kuzionea style nyimgine

Swimmers wana kifua na arms flani hivi yereuwiiiii. Yummy!!
 
I hated layups na coach alikuwa anajua sipendi ku dribble na left na layups. He used to make me do it on purpose.

lol
then you were not perfect i had to admit i was not good in madoido and and1 staff lakini kujua kwangu basic tu kulinifanya niwaweke nje wenye skills za ajabu i was so damn good in kuibia , firstbreak , rebound alafu nilikuwa sichoki hasa tukikaba man to man.
 
Wakuu asante sana.
Sina hamu ndugu yangu... nikikumbuka yule Mtoa roho alivyoninywesha maji mengi ivo tena kinguvu bila idhini yangu.. Hamu inakatika kabisa.

Duh pole Tized wetu, inabidi ujifunze mkuu ni mchezo mzuri sana

Mkuu kuogelea ni zoezi bora kabisa. kila kiungo kinahushiswa.
mkuu pole sana unakosa raha moja adimu sana,wengine ndo starehe yetu hiyo ikipita mwezi bila ya kuogelea lazima tuumwe,sasa hivi ndo nimeanza kujifunza kuogelea style y butterfly nimechoka kuzionea style nyimgine

 
Last edited by a moderator:
mmezidi na nyie kukaaa ushuani matokeo yake hata ujiko maana yake hujui,haya hiyo homework yako katafute maana yake sio kila kitu utafuniwe lol!!!

Sio ushua best. ze language sometime full kuniyeyusha.
 
njoo najitolea kukufundishia chumbani buuuuure kabisa
 
Swimmers wana kifua na arms flani hivi yereuwiiiii. Yummy!!
plus ni vitambiless. usipokuwa na kifuaitakulazimu kila siku uvae swimming costume ila kikiwepo kidogo unaweza ukauzia uzia sura siku mojamoja lol!!
 
then you were not perfect i had to admit i was not good in madoido and and1 staff lakini kujua kwangu basic tu kulinifanya niwaweke nje wenye skills za ajabu i was so damn good in kuibia , firstbreak , rebound alafu nilikuwa sichoki hasa tukikaba man to man.
I concur! faking, first break yeah but D nilikuwa siingii.

Its easier for you with your height but penetration pale inataka ubavu. lols
 
plus ni vitambiless. usipokuwa na kifuaitakulazimu kila siku uvae swimming costume ila kikiwepo kidogo unaweza ukauzia uzia sura siku mojamoja lol!!

Dude its morning bado, stop taking my mind elsewhere.

Si unaona na Tized anakonipeleka?

Ishieni hapo, subirini kiza. hahahaaha
 
Last edited by a moderator:
Sio ushua best. ze language sometime full kuniyeyusha.
just for you and you only ujiko maana yake ni kutaka ufahari,kujikweza ama kujionyesha kwa watu kwamba una kitu flani au una uwezo flani zaidi ya wao in short unataka kila mtu atambue what you have kuzidi wao kutafuta prestige. na sometimes ni kinyume na hali halisi iliyopo
 
Wakuu asante sana.
Sina hamu ndugu yangu... nikikumbuka yule Mtoa roho alivyoninywesha maji mengi ivo tena kinguvu bila idhini yangu.. Hamu inakatika kabisa.

Kaka ungeenda baharini ni rahisi kuliko unavofkiria
 
mi nilikuwa naringia spidi tu na uwezo wa kuruka lol!!!

Am so jealous. Siku una tournament nishtue nije niwatch.

Huku kuna team ya Basketball players. Kama vipi lets arrange a match.
 
just for you and you only ujiko maana yake ni kutaka ufahari,kujikweza ama kujionyesha kwa watu kwamba una kitu flani au una uwezo flani zaidi ya wao in short unataka kila mtu atambue what you have kuzidi wao kutafuta prestige. na sometimes ni kinyume na hali halisi iliyopo

Is that so?

Well he is entitled to his own opinion, however dumb and shallow it is.
 
then you were not perfect i had to admit i was not good in madoido and and1 staff lakini kujua kwangu basic tu kulinifanya niwaweke nje wenye skills za ajabu i was so damn good in kuibia , firstbreak , rebound alafu nilikuwa sichoki hasa tukikaba man to man.


Man to man! Teh Teh Teh!

Mkuu wankumbusha mbali sn!

Basi Mimi ktk huo mfumo Nilikua namchagua Yule playmaker wao mzuri wanaemtegemea kudunda mpira! Basi atakabwa huyo mpk akimbie! Ntamuibia sn mipira! Yani atapigwa man to man ya kufa mtu! Na pia ktk kudribble Nilikua mzuri sn! Yani nikiwa na mpira ata unikabe vp ntaufikisha mbele na nitatoa pasi nzuri sn! Mwanangu nimezeeka sasaivi! Lkn hiyo miaka ya 90 nilkua fit vibaya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom