Bi shosti hujambo lakini?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Twaz then hun.
Oh yes. Bonge la dribbler. I miss this game jirani. I miss the sound of the ball on the court.
huo mchezo hata mim wakati nipo secondary school niliwahi kuipenda na kuucheza.ila kwa sasa majukumu ya kimaisha yamechukua nafasi.sina mda tena.
Amazing. Kumbe tupo wengi. Bball ina raha yake aisee.
three points na kutegemea board kama ni mfupi, unadrible mpaka pembeni mwa uwanja kulia au kushoto kwenye mstari, then unarusha mpira kwenye board kwenye ile mchoro wa kibox mpira unaangukia ndani ya ring, hakuna kudunk as simple as that..kwa wafupi lakini
Sn mamy! Tuko Wengi sn! Ila hui mchezo ni mzuri sn!
Maishani mwangu mchezo Wa bball na fball ni michezo yng ninayoipenda sn ni Nilikua naicheza sn yote miwili na kufanya vzr tu!
Oh yeah. Na a bit of practice my friend.
Excel nahisi kuna mahali nimemuona na Tized na Mndengereko.Kweli wapaswa kuzikumbuka enzi zako Karucee zilikuwa balaa.
Hivi Tized na Mndengereko na yule Excel bazazi wamepita hapa wakaona hii