Enzi zangu mie Karucee

Enzi zangu mie Karucee

duh maneno tu yanakuhadaa na kukuchanganya vipi ukienda swimming kwenyewe lol!!!

hahahaahahaa. Nikiendaga kule navaa sun glasses. Even if they have an effect on me nobody will notice. Nakula kwa macho. teh teh teeeeeeh.
 
Man to man! Teh Teh Teh!

Mkuu wankumbusha mbali sn!

Basi Mimi ktk huo mfumo Nilikua namchagua Yule playmaker wao mzuri wanaemtegemea kudunda mpira! Basi atakabwa huyo mpk akimbie! Ntamuibia sn mipira! Yani atapigwa man to man ya kufa mtu! Na pia ktk kudribble Nilikua mzuri sn! Yani nikiwa na mpira ata unikabe vp ntaufikisha mbele na nitatoa pasi nzuri sn! Mwanangu nimezeeka sasaivi! Lkn hiyo miaka ya 90 nilkua fit vibaya!

Inaitwa aging gracefully.

Been there done it all.
 
Karucee Am innocent. ................Am I driiiiiiiiimin? Am I driiiiii iiiiiiimini!! Kaimba nani tena ''cate'' De nini sijui

Kaka Mndengereko huo ndio mpango mzima. Hata ukitembea.. shoulders raised high, upper pecks apo.. confidence laki nane na nusu..... uvae slim fits (shirts au koti) uone wanavyokutolea mimacho? Afu unajikaushaje?
Dude its morning bado, stop taking my mind elsewhere.

Si unaona na Tized anakonipeleka?

Ishieni hapo, subirini kiza. hahahaaha
 
Last edited by a moderator:
Karucee njoo Don Bosco upanga jioni tukumbukie
 
Last edited by a moderator:
Man to man! Teh Teh Teh!

Mkuu wankumbusha mbali sn!

Basi Mimi ktk huo mfumo Nilikua namchagua Yule playmaker wao mzuri wanaemtegemea kudunda mpira! Basi atakabwa huyo mpk akimbie! Ntamuibia sn mipira! Yani atapigwa man to man ya kufa mtu! Na pia ktk kudribble Nilikua mzuri sn! Yani nikiwa na mpira ata unikabe vp ntaufikisha mbele na nitatoa pasi nzuri sn! Mwanangu nimezeeka sasaivi! Lkn hiyo miaka ya 90 nilkua fit vibaya!
hongera zako kama ulikuwa hatari kwa kudunda mi nakumbuka hadi leo tactick aliyokuwa annifundisha mwl wangu ya kukaba see man see ball,ila kwene kudunda mimi sikuwa mzuri ila kwenye kumalizia tu ndo utantaka wakati naanza anza nakumbuka sheria zilizokuwa zinanipa tabu ni kila saa nilikuwa nawalk na ups and down lzilinitesa sana akini nikakomaa mpk nikajua nakumbuka pia three men weaving nilikuwa nacheza vizuri na block dah mpk somtimes nikawa najishtukia ukija vibaya lazima nikupige tawi,
 
hahahaahahaa. Nikiendaga kule navaa sun glasses. Even if they have an effect on me nobody will notice. Nakula kwa macho. teh teh teeeeeeh.
atleast then lol utaweza kuogelea kweli kwa style hiyo sasa?? au ndo utabaki kuwa observer tu
 
Teh Teh Teh

Mi namtaka Karucee Maana akiona umenizidia lazima aombe po! Au asimamishe mchezo! Alafu mwallu akae pembeni akiona umenizidia anarusha kitambaa kuniokoa!

Teh Teh Teh
hahahaha. lol.

So umejupendelea either way, eh?
 
hongera zako kama ulikuwa hatari kwa kudunda mi nakumbuka hadi leo tactick aliyokuwa annifundisha mwl wangu ya kukaba see man see ball,ila kwene kudunda mimi sikuwa mzuri ila kwenye kumalizia tu ndo utantaka wakati naanza anza nakumbuka sheria zilizokuwa zinanipa tabu ni kila saa nilikuwa nawalk na ups and down lzilinitesa sana akini nikakomaa mpk nikajua nakumbuka pia three men weaving nilikuwa nacheza vizuri na block dah mpk somtimes nikawa najishtukia ukija vibaya lazima nikupige tawi,

Mkuu safi sn! Kwa kifupi huo mchezo ukifanya laziest sn na ukijituma sn na kuupenda basi kila kitu huja chenyewe! Yani kuna mambo unaweza ukafanya Ukiwa uwanjani ukiambiwa rudia ulichofanya lazima ushindwe!

Kwa mfano Ukiwa Playmaker lazima uwe mwepesi na akili ya haraka sn na maamuzu ya haraka! Yani ukiona upenyo Kidogo akili na mwili na mikono lazima ifanye kz kwa haraka na kwa nguvu na kasi!

Aise raha sn!
 
Me was 2001 viwaja vya Amani pale Z'bar

Znz nilicheza pale Darajani kwa Mbele kama unaelekea Bwawani upande wa kulia panaitwaje? Nishaanza kusahau Zenji jina la kocha nitakumbka kweli?
 
Viwanja vya malindi!
 
Karucee Am innocent. ................Am I driiiiiiiiimin? Am I driiiiii iiiiiiimini!! Kaimba nani tena ''cate'' De nini sijui

Kaka Mndengereko huo ndio mpango mzima. Hata ukitembea.. shoulders raised high, upper pecks apo.. confidence laki nane na nusu..... uvae slim fits (shirts au koti) uone wanavyokutolea mimacho? Afu unajikaushaje?

pole kwanza kwa kutojua kuogolea mkuuvipi basket ulishawahi kucheza pia??
 
hahahaha. lol.

So umejupendelea either way, eh?

Lazima nijipendelee! Coz nikidundwa utapata wapi Mwalimu Wa Kisukuma? Au Ole atapata wapi swahiba mwingine?

Lazima tushirikiane kumdunda Tized
 
Last edited by a moderator:
Karucee Am innocent. ................Am I driiiiiiiiimin? Am I driiiiii iiiiiiimini!! Kaimba nani tena ''cate'' De nini sijui

Kaka Mndengereko huo ndio mpango mzima. Hata ukitembea.. shoulders raised high, upper pecks apo.. confidence laki nane na nusu..... uvae slim fits (shirts au koti) uone wanavyokutolea mimacho? Afu unajikaushaje?

[video=youtube_share;WrP-1AQeC5U]http://youtu.be/WrP-1AQeC5U[/video] Afadhali wanaojikaushaga kuliko wanao toaga ka smile kwa mbali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom