Enzi zako ulipata div ngapi ? Sema ukweli

Enzi zako ulipata div ngapi ? Sema ukweli

Hv silabaus yenu ya kibongo division huwa mnahesabuje? Si wengine tumesoma cabrige.
 
duh, hivi naweza kuwa nachat na vijukuu vyangu.

Mie nilichaguliwa middle school, mzazi wangu alichinja mbuzi. Baada ya kumaliza la 8 nikapangiwa kwenda ualimu.

Hatukuwa na div rank ya la 8.

Dah, kongosho...shikamoo, mie two 18 kaengesa seminary rukwa 1998
 
hizo div. hazitoshi. ni bora mmgeeleza mko wapi kimaisha,
kkwa maana wapo wa div sifuri lakini kimaisha wanapaa si mchezo 🙂
 
Nilipata div 4 ya point 27 Kama Mwanaasha shule ya Alhamain secondary 2006
 
Nakumbuka miaka hiyo bado ilikuwa sio rahisi kuingia Ilboru au mzumbe ukiwa na hizo pts zako(20), we ulipataje mzee?
Nakumbuka ili upate chance kwa PCM au PCB Uwe na atleast ABB mpaka AAA,yani atleast pts 5. Mimi olevel PCM nilikuwa na pts 5 lakini bado nikakosa nikatupwa Minaki.

Mama yangu alikuwa mwalimu SO kuhama kwangu ilikuwa easy nilipangiwa umbwe nkahamishiwa ilboru HGL
 
Mi nilipata div IV.30 Nyampu Sec 2002 nikaenda zangu cbe kupiga certificate ya accounts..saiv na bachelor yangu ya accounts safi plus CPA..kazi kwenu mnaotutambia na div I..zenu
 
div. 1 point 17 ******* SEKONDARI (a.k.a gambian bulls) asaiv chuo SEKUCO
 
nililamba ki2 cha one ya 11 pale mazengo dodoma olevel 2003
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom